Sio Mungu tu tuliyemkataa

It's your problem not mine.
Chagua lugha moja unayoifahamu vizuri kisha uitumie. Hii kuchanganya misimbo bila sababu za msingi ni aina mojawapo ya ushamba na ulimbukeni tulionao Wabongo. Pengine ni kutaka kuonekana kuwa tumesoma. Ajabu sasa tukiambiwa tuonyeshe huo "usomi" kwa kuandika au kuzungumza hiyo lugha ya "kisomi" ni majanga tupu.

Kiingereza hatukiwezi mbali na kuchomekea chomekea hivi kiholela bila sababu za msingi. Kiswahili fasaha nacho kimeshaanza kutushinda. Lugha za mama tushaachana nazo ali mradi vurugu tupu! πŸ˜”
 
Personal beefing ni nini? Ni kweli umekaa neno la Kiswahili? 😳
Ukikaaa humu jeiefu kuanza kufuatilia nani yupo sahihi kimaandishi na kimantiki ... Utaishi kwa stress sana ...

Af nikwambie ... Huna audacity wala Moral authority ya kumpangia mtu aandike aje wakati akitaka kufikisha mawazo yake au hisia zake humu....
 
ugumu wa maisha kutokana na sababu mbalimbali kama vile uvivu n.k,
hufanya wengi nyakati hizi kukata tamaa kabisa ya maisha na kuacha hata imani zao za kidini, huku wakidhihirisha ukengeufu wao kwa kujipiga kifua na kujivika usomi ambao pia, kwa mtazamo wa kawaida kabisa hata hauonekani kwenye wanachojaribu kukiamini baada ya kuasi imani zao za awali. Zaidi sana, kinachoonekana ni ujanja ujanja tu usioeleweka kwa wanaohubiriwa.

kwani ukiwa na imani yako kwa Mungu au usipokua na imani kwa Mungu, kuna haja gani ya kuweweseka na kubabaika na wasiohangaika na una choamini au usicho amini? Si ukomae na maisha yako kwa amani na kusonga mbele kimya kimya tu na itapendeza zaidi?
 
Na unaweza kukuta hao watu wawili ni mtu mmoja tu!

πŸ˜€πŸ˜€
Ndio maana nikakuuliza mantiki ya andiko lako ni lipi? Sababu nimeona umehemka tu
Nyie wote mme react badala ya kusoma. Mbona nipo clear kabisa, mnataka jibu hakuna jibu hapo. Nimeweka contrast ili mtu ajue la kuchagua kivyake. Na kama hujaelewa that's not my blame.
 
Mpaka sasa watu watatu tumemwambia haeleweki nyie mpo wawili nadhani ushajua upande wenye shida
He's right. And if you think he's wrong,you are right . No body is wrong and If you think I'm right or wrong you are right β˜ οΈπŸ’€
 
Mtu anaandika vitu havieleweki sababu ya kuchanganya lugha hovyo tu bila sababu za msingi unamwambia anapaniki anaanza kutukana. JF hii kuna watu wa kila aina ni kuvumiliana tu!
Yeye mwenyewe hajaelewa alichokiandika ndio maana anashindwa kujitetea anaishia kuongea maneno ya kiingereza na hivi sielewi basi tabu tupu
 
Nyie wote mme react badala ya kusoma. Mbona nipo clear kabisa, mnataka jibu hakuna jibu hapo. Nimeweka contrast ili mtu ajue la kuchagua kivyake. Na kama hujaelewa that's not my blame.
Watu wana emotional swings za asubuhi.... Shida watu hawasomi kitu kukielewa
 
Mkuu this is Tz, watu hawawezi ku think for themselves so they project their ignorance Kwa wengine. Total B.S
 
kwani ukiwa na imani yako kwa Mungu au usipokua na imani kwa Mungu, kuna haja gani ya kuweweseka na kubabaika na wasiohangaika na una choamini au usicho amini? Si ukomae na maisha yako kwa amani na kusonga mbele kimya kimya tu na itapendeza zaidi?
This guy is just trying to seek public approval,public validation or public confirmation from a crowd,society via social media rather than from within.
 
Sijafuatilia mtu wala sijapangia mtu cha kuandika ila nimetoa maoni yangu tu. Kwa nini umepaniki hivi? Ulipoanzisha uzi ungeweka angalizo kuhusu maoni unayoyataka. Na kwa nini unajihisi wewe ndiyo una mamlaka ya kuamua watu waseme nini kwenye andiko lako? Wewe ni dikteta uchwara ama? Kuna kosa lo lote la kisheria au kikatiba ambalo nimelifanya kwa kutoa maoni yangu tena kwa lugha ya heshima bila matusi?

Na audacity na moral authority ni nini? Ni kweli umekosa maneno sahihi ya Kiswahili au ni ulimbukeni tu? πŸ˜…
 
Huyo uliyemquote sio mleta mada bali ni pacha wake,
Naona alisahau kulog out ili akujibu kwa ID aliyo shushia mada.

πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…