Sio muda wote ni Injili!!

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Askofu Zacharia Kakobe akila 'bata'
 

Attachments

  • 1422644946765.jpg
    33.2 KB · Views: 1,542
  • 1422645061166.jpg
    64.5 KB · Views: 1,323
Hakuna sehemu yoyote kwenye Biblia inasema hayo ni matumizi ya sadaka na zaka!
 
Askofu Zacharia Kakobe akila 'bata'

sasa kama ameshakusanya sadaka za wasiojua kufikiri ambao ni masikini wa kutupwa na zimemtosha kwanini asile bata? wakati yeye akila bata huko alipo kuna waumini wake sasa wanapiga tu miayo na kuhesabu mabati huku wakiwa hawajui leo wataishije. hakika wajinga ndiyo waliwao! sijui na mimi nianzishe kanisa ili niwakamue wajinga wajinga wengi hapa bongo!
 
Ngamia ndio bata?
nimekuja mbio nikadhani kuna makulaji
 
Kwa vile zama za ujinga bado zipo zipo utapiga sana mpunga ukianzisha good idea mie plan nianzishe vyote msikiti na kanisa sio kwa sababu ya mungu hapana kwa manufaa yangu binafsi
 

Hujachelewa mkuu, anzisha la kwako ili mradi uwe na saikolojia ya kuwashawishi kondoo.
 
Kuna ubaya gani Askofu Kakobe akijinafasi kwa malengo yake ? Achaeni wivu wa kishetani ! Mbona Rais wetu hatulii home ?!
 
Wacha ajilie vyake. Keshazikusanya za kutosha kutoka kwa misukule wake huko dar es salaam.
Hapa anatumbua zile fedha alizowauzia tisheti tu.
bado hajagusa sadaka na fungu la kumi.
 
Hamna haki kupiga kelele, wakati hamjampa Kakobe sadaka/zaka !
Mnaomlalamikia Kakobe;mbona mwatoa sadaka/Zaka kwa pepo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…