Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
10,745
Reaction score
29,219
Kwa bahati mbaya toka nilijue hili jukwaa sijawai ku-pm au ku-piemniwa na mtu.

Sasa nataka nianze utaratibu wa kuanza kuwa pm watu ila ningependa kupata kajiuzoefu kadoogo huko pm kunanaje. Au kama vipi njoo pm na mimi nipate uzoefu.
 
Pm kunafana na kule unakofanyaga mambo yako ya faragha watu wasikuone isipokuwa wewe tu au na yule unayefanya naye.
 
mmmh... ngoja na sie wageni tutoe macho hapa, maana nasikiaga tu njoo PM hata sijui ndo mtaa gani huo!!!! wenyeji mupooooo
 
kirefu chake ni private message nazani wewe sio mgeni katika lugha hii ya malkia
 
PM ni maisha baada ya hapa, hayo uwa yanafanyika mtaa private, kwa mjumbe anayeitwa mesege, humo kuna mambo yanaendelea zaidi na yana faida na hasara. ila mara nyingi mambo ya huko yanamalizwa hukohuko, ukayaleta huu mtaa wa uwazi inakula kwako. ngoja na mimi nianze kuwa pm watu kila siku 10 halafu nione.
 
Kwa bahati mbaya toka nijue hili jukwaa sijawai ku-pm au ku-piemniwa na mtu. Sasa nataka nianze utaratibu wa kuanza kuwa pm watu ila ningependa kupata kajiuzoefu kadoogo huko pm kunanaje. Au kama vipi njoo pm na mimi nipate uzoefu

Hiyo hunywewa imoto au ibaridi vile?
 
Back
Top Bottom