Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
HiZo receiver za MPEG4 zinauzwa wapi mkuu?wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi
Sasa mkuu umeniacha kidogo sana, ulisema uelekeo wa dish kubwa. Kwa uelewa wangu mbona huwa naona direction ya dstv dish na dish kuuubwa lina direction nyingine. So help me mtaalamJe kwa dish la dstv inawezekana pia kufanya hivyo. inawezekana mkuu km dish la dstv unalo na linatumika inachotakiwa kufanya hapo ni kuwa na hiyo receiver ya mpg4 na kuwa pia na lnb aina ya k u ya twin hapo dstv utaendelea nayo na hizo na nilizozielezea pia zitaonesha kwa maana ya dish moja ila ndani una dercoder na receiver na vyote vinafanya kaazi sijui km nimekujibu vzr mkuu?
Tupe mawasiliano yako
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi
baadhi ya mjina ya hizo receiva ni strong astrovox skybox na kuusu bei wakuu zinaanzia laki 2 na kuendelea maana zipo ambazo ni mpg4 lkn hazina uwezo wa kurekodi na zipo zenye uwezo huo zipo mpg 4 ambazo ni hd so inategemea na choice yako cont ni hizi wakuu 0715100071 na 0788405060
Nimekuomba frq za hizo channel au ndo umeingia kibiashara zaidi mkuu.
Je dish la Zuku unaweza kutumia receiver ya mpg4 uliyonunua mwenyewe?wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi