Sio lazima mtu awe na familia!

Sio lazima mtu awe na familia!


Tuishi Tu,,Uzuri Wa Uhalisia Maisha Hakuna, Anayepatia Wala,Hakuna Anayeyakosea....​
 
Kama hu a familia unatafyta pesa za nini sasa.Au unataka hizo hela zako zisaidie familia za wenzako tu?
 
Kila mtu kwa nafasi yake, hakuna kupangiana, ukiamua kuwa single and alone for life, punga, single mother, baba wa watoto 20 na wake 9, nyumba ndogo etc uhuru kwa wote na mbarikiwe
 
Tuachane na ukale mtu ni ujuz ,utajir na nguvu sio mke na watoto.mie sina familia na wala sitak.nna pesa zang zinanitosha.
sikio halizidi kichwa. Wakati wake bado. Wakati ukifika, mwenyewe tutakuona kwa manyaunyau au kwa mwamposa ukihaha. Utoto raha sana
 
Kuna dogo langu linajisifia kuwa na watoto wengi wasiokuwa na mbele wala nyuma. Sasa wewe hata kuwa na katoto kamoja unaona ni mzigo. Utajua mwenyewe bwana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom