Sio lazima manager wa TANESCO awe Electrical Engineer

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,018
Habari zenu,

Kuna hili jambo la mgao unao litafuna hili Taifa kwa kasi ya ajabu.

Saloon zimefungwa, ndoa zinavujika, watu wanapishana na michepuko yao, Juice za moto, Soda vile vile, Viwanda havizalishi, vibaka ndio usiseme, wabakaji balaa, Stationery na Internet Cafe ni kifo cha mende!

Walio baki na umeme ni bodaboda na magari tu barabarani! Nani akulipe kodi? Thubutuuu! Hayo mateke na Mangumi ya uso!

Majuzi nilikuwa Jijini Mwanza nikaona kampuni ya M-Power (si vodacom) inazalisha umeme wa jua kuichalenge TANESCO, tayari imekuwa kipenzi cha Mama Ntilie, nyumba zilizo mbali na TANESCO, na wafanya biashara wa maduka madogo madogo. TANESCO wao hawaoni kama huyu ni Direct Competitor!

Nyumba kuunganishwa umeme inachukua miezi 8! Rushwa juu! Wakati walipaswa kufanya booking wao.

Ukusanyaji wa mapato unashuka hata Billioni 100 kwa kukata umeme dk 5 tu(assuming). Kwa sasa TANESCO wanakata umeme nchi nzima Takriban masaa18 hadi 48!! Najiuliza hivi kwa nn JK unatuviringisha kama wadudu au ndio Uchumi ulio soma the So called UDSM!

Wadau hivi kweli kuna haja ya Manager wa TANESCO WILAYA, NA MKOA KUWA ELECTRICAL ENGINEER and not Business Manager (e.g. MBA graduate) majoring in Marketing?

Mapendekezo!

1. MKURUGENZI WA TANESCO ilipwe mshahara kutokana na Monthly Performance na wafanyakazi wote wa shirika hili wasiwe na Permanent Salary!

2. Waanze kutoa Booking za kuunganisha umeme kwenye majumba kuzuia wizi na ajali za moto zitokanazo na kujiunganishia umeme kiholela!

3. Hili shirika libadilishe mfumo from a Gvt Parastatal to a Business Enterprise!

4. Hujuma dhidi ya UKAWA zikomeshwe ni kukosesha Taifa mapato. Na hivyo kuhujumu Hospitali kwa kukosa dawa, Kilimo na huduma za maji wa wanachi!
 
maelezo mengi na mazuri ila hayana ushirikiano. vilevile bado nasubiri habari yenye headline uliyoweka hapo juu
 
Hebu ni summarise point zako kwa sentensi moja; "Tanesco are not business oriented".

Sasa hivi watu wengi wanaweka dual system, unakuwa na solor na tanesco, hawa M-pawa wanakuwekea umeme kwa laki tatu, unapewa na tv 21" ya solor halafu bill yao iko chini kuliko tanesco. baada ya miaka miwili haulipi tena solor inakuwa ya kwako.

Lakini haya yote msingi wake ni mkataba mbovu wa Richmond uliowekwa na Lowasa, Chadema kumtengenezea fitina prof.Muhongo, kisa tu mtu anayewafanya wananchi wawaone kanyimwa kitalu cha gesi. Uzuri waliropoka pale bahari beach tukawajua walivyo.
 
kinachosumbua si manager bali ni vitendea kazi mkuu.. baadhi ya mashine zimesimama kisa kukosekana kwa vitendea kazi... ndo maana unaona kuna tatizo... wa kulaumiwa ni serikali na si wafanyakazi... imagine Mwanza huwa wanatumia 52MW ila Sasa hv zinakuja 30MW tena wanagawana na Musoma ambao wanatumia 16MW...
 
Mbona mwanza kuna mitambo ya semco ya 60MW, inakuwaje umeme hautoshi?
 
Hebu ni summarise point zako kwa sentensi moja; "Tanesco are not business oriented".

Sasa hivi watu wengi wanaweka dual system, unakuwa na solor na tanesco, hawa M-pawa wanakuwekea umeme kwa laki tatu, unapewa na tv 21" ya solor halafu bill yao iko chini kuliko tanesco. baada ya miaka miwili haulipi tena solor inakuwa ya kwako.

Lakini haya yote msingi wake ni mkataba mbovu wa Richmond uliowekwa na Lowasa, Chadema kumtengenezea fitina prof.Muhongo, kisa tu mtu anayewafanya wananchi wawaone kanyimwa kitalu cha gesi. Uzuri waliropoka pale bahari beach tukawajua walivyo.

Kwingine na kubaliana na ww. Ila kuhusu Lowassa sikubaliani!

EL ameeleza kila kitu kuhusu Richmond. JK kakanyaga noti hata hapanui mdomo kupinga yale maelezo ya EL.

Kweli Prof. Mhongo ni Jembe ila kichotuumiza ni wizi mfano. Dr. Magufuri pekee billion 252! Ukiweka na Route za Vasco Da Gama dunia nzima?
 
kinachosumbua si manager bali ni vitendea kazi mkuu.. baadhi ya mashine zimesimama kisa kukosekana kwa vitendea kazi... ndo maana unaona kuna tatizo... wa kulaumiwa ni serikali na si wafanyakazi... imagine Mwanza huwa wanatumia 52MW ila Sasa hv zinakuja 30MW tena wanagawana na Musoma ambao wanatumia 16MW...

Lakini si walisema kuwa Singida kuna upepo mkali wa kuweza kuzalisha umeme wa Kutosha!

Tatzo la nchi yetu ni vipa umbele tu. Mfano, issue ya gesi ni mpya lakini Speed ya kupitisha mswaada wake na speed ya ujenzi wa Bomba la gesi ni kali kuliko speed ya ujenzi wa mabomba ya maji safi na maji taka mijini mwetu wala maji kwa ajili ya umwagiliaji.
 
Habari zenu,

Kuna hili jambo la mgao unao litafuna hili Taifa kwa kasi ya ajabu.

Saloon zimefungwa, ndoa zinavujika, watu wanapishana na michepuko yao, Juice za moto, Soda vile vile, Viwanda havizalishi, vibaka ndio usiseme, wabakaji balaa, Stationery na Internet Cafe ni kifo cha mende!

Walio baki na umeme ni bodaboda na magari tu barabarani! Nani akulipe kodi? Thubutuuu! Hayo mateke na Mangumi ya uso!

Majuzi nilikuwa Jijini Mwanza nikaona kampuni ya M-Power (si vodacom) inazalisha umeme wa jua kuichalenge TANESCO, tayari imekuwa kipenzi cha Mama Ntilie, nyumba zilizo mbali na TANESCO, na wafanya biashara wa maduka madogo madogo. TANESCO wao hawaoni kama huyu ni Direct Competitor!

Nyumba kuunganishwa umeme inachukua miezi 8! Rushwa juu! Wakati walipaswa kufanya booking wao.

Ukusanyaji wa mapato unashuka hata Billioni 100 kwa kukata umeme dk 5 tu(assuming). Kwa sasa TANESCO wanakata umeme nchi nzima Takriban masaa18 hadi 48!! Najiuliza hivi kwa nn JK unatuviringisha kama wadudu au ndio Uchumi ulio soma the So called UDSM!

Wadau hivi kweli kuna haja ya Manager wa TANESCO WILAYA, NA MKOA KUWA ELECTRICAL ENGINEER and not Business Manager (e.g. MBA graduate) majoring in Marketing?

Mapendekezo!

1. MKURUGENZI WA TANESCO ilipwe mshahara kutokana na Monthly Performance na wafanyakazi wote wa shirika hili wasiwe na Permanent Salary!

2. Waanze kutoa Booking za kuunganisha umeme kwenye majumba kuzuia wizi na ajali za moto zitokanazo na kujiunganishia umeme kiholela!

3. Hili shirika libadilishe mfumo from a Gvt Parastatal to a Business Enterprise!

4. Hujuma dhidi ya UKAWA zikomeshwe ni kukosesha Taifa mapato. Na hivyo kuhujumu Hospitali kwa kukosa dawa, Kilimo na huduma za maji wa wanachi!
KIPUNGUNI..MOMBASA...KWA DIWANI...SIKU YA 4 LEO HAKUNA UMEME...MAENEO YA MKOLEMBA NA BOMBA MBILI...SONGOSONGO YOTE NI BALAAA.aibuuuuuuu:embarrassed1:
 
Kweli mkuu ni serious problem!

Tatzo watu wamezoea Hoja za mapenzi tuuu muda wote! Hadi wengine wanaleta kejeli hapa wakati Taifa lina angamia.
 
Tanesco wanailalamikia serikali na ubovu wa miundombinu.

Wanasema serikali na taasisi zake hazilipi madeni wanazidai zaidi ya bilioni 300 na tatizo limekua kubwa sana kipindi hiki cha kikwete hawalipi madenni na wakikatiwa umeme serikali ya kikwete inawawakia mameneja.

Ubovu wa miundombinu ni kwamba katika kipindi cha miaka 10 ya utawala wa mjapa hadi kikwete shirika lilibinafsishwa kwa netgroup solution kwa hiyo halikufanya capital investment yoyote kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10,sasa ndio wameshtuka na kuanza kuwekeza huku miundombinu iliyopo ni ile ya zamani ambayo imechoka sana.

Wa kkulaumiwa ni serikali ya ccm ambayo imepelekea haya yote, tunaweza kuilaumu tanesco ila msingi wa matatizo yao ni serikali,haiwezekani nchi hii yenye kila aina ya vyanzo vya umeme bado umeme ni tatizo. Toa ccm madarakani.
 
Kichwa Ndio Mtu mm nilidhani mgao mkali ulikuwa enzi za Ngeleja tu! Kumbe hata Dalali Simba Chawenyewe!

Ngoja uone Prof. JK apishe geti la Ikulu uone uozo alivyo piga vijisenti zitakavyo vuja!
 
Last edited by a moderator:

Hili tatizo halitaisha hadi pale serikali itakopoamua kulifanya shirika lijiendeshe kibiashara na serikali kulipa madeni na pia. Kumbuka huwa linapata hasara kila mwaka hii ni kutokana na kuendeshwa kisiasa
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa na elimu ungetukana hapa? Typical kilaza

Hata Dr. Masaburi ana Elimu. Na nasistiza tena kuwa Elimu yangu nina huhakika mnashea na baba yako na inawatosha vzr tu! Cha Mhimu kama huna cha kuchangia pita kimya kimya tu. Si kejeli na Matusi. Mbuzi ww!!
 
Hata Dr. Masaburi ana Elimu. Na nasistiza tena kuwa Elimu yangu nina huhakika mnashea na baba yako na inawatosha vzr tu! Cha Mhimu kama huna cha kuchangia pita kimya kimya tu. Si kejeli.

Na mm nasisitiza wewe ni "typical" kilaza with all qualities and characters of vilaza
 
Back
Top Bottom