msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Watanzania mpewe nini aisee....hivi unajua madhara ya kuprivatize public service kama umeme? Next tutasema na maji, afya na hata ulinzi wa taifa uwe privatized. Be careful what you wish for EnzymesIla kwa taarifa yako, kuna mpango uliandaliwa na prof Muhongo wa kulivunja shirika la TANESCO kuwa mashirika matatu (moja la uzalishaji, lingine usafirishaji na lingine usambazwaji wa umeme). Serikali ibaki tu na shirika la uzalishaji mengine yote yabinafsishwe kupitia soko la hisa. Mambo ya meneja kuwa engineer sio hoja. Kuna vitu technical sana huko TANESCO ambavyo unless uwe engineer huwezi kuvielewa. Ndio maana kuna corporate wing ya TANESCO ambayo inaongozwa na hao watu wa business administration.
Last edited by a moderator: