Sio kweli...!

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,382
Wakuu
sio kweli kila mchaga ni mfanyabiashara

sio kweli kila mhaya ni malaya

sio kweli kila mmachinga katokea ntwara

sio kweli kila muokota makopo ni mwendawazimu

sio kweli...............................
 
sio kweli kila mwana .. Ni great thinka

si kila anyeongelea sihasa ni mwana syasa

si kila msukuma anapenda mwanamke mweupe
 
Sio kweli kila aliyesoma ameelimika.
Sio kweli kila anaekuchekea anakupenda.
Sio kweli kila kinachosemwa kinamaanishwa!
 
Sio kweli kila mwanamke anayeenda bar ni malaya

sio kweli kila mwana jf anayetupia thread hapa ina ukweli

sio kweli kila mwenye makalio makubwa ni yake
 
Sio kila chalii ni mjanja!

Heheehe
Sio kweli kila anaekuomba namba anakutaka.
Sio kweli kila aliyenenepa anakula vizuri.
Sio kweli kila aliyekonda ana ngoma.
Sio kweli kila anaekusifia anamaanisha.
Sio kweli kila unaemtaka ni saizi yako.
 
Siyo kweli kuwa kila mbunge wa Chadema anachukia ufisadi. Mi nawajua kibao ambao ni mafisadi wa kufa mtu.
 
Back
Top Bottom