Sio kweli, just asking...

Sio kweli, just asking...

Simply man hao wanao kusema wana lao jambo. Your life style haiwahusu.
People talks and the will talk till the day you die.
For the contrary tell the to fuk off.

Au wapotezee tu. Baada ya muda fulan wataacha wenyewe.
 
Suppose wewe ni kijana wakiume in your 28-30s, kwenu mmezaliwa wawili tu, you and your sister (first born). Miaka yote you've been trying to prove people wrong kwamba you're a man of your own (sio mtoto WA mama/baba), you have your own life. A decent job, decent house n decent car, but still your parents require you to live at home since the house is too big for 4 people. U try hard n you make it n life, halafu unakuja kusikia both of the parents wamekuwrite as their sole successor kwenye wills zao... your sis, starts acting weirdly, halafu your friends keep calling you mtoto WA mama (the name you've been avoiding your whole life time). What do u do?
Mwanaume huwezi kumridhisha kila mtu...sometimes hard decision zinatakiwa kwenye mazingira kama hayo....

Unaangalia wewe unataka nini halafu unafanya unachokitaka na sio watu wanachokitaka au watu watakuonaje ukifanya kitu flani
 
Matatizo mengine baana!! Hao unaowasikiliza wanakulisha? wanakuvisha? wanakulaza? wanakusaidia chochote kile kwenye hustling za maisha yako? Ishi maisha yako
 
Back
Top Bottom