Sio kweli, just asking...

Sio kweli, just asking...

No samari hia bikoz lugha is kugongana
Neksti taim teli him, bekozingi lugharing izing kugonganaring[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Mmmh hapa sasa hazija gongana naona zimeminyana kabisaa umeniacha
 
Toka home kaishi kwako then mwite huyo dda yako ongea nae na wazee wako, waambie we ni mwanaume unajiweza then waambie wampe dada yako ili kujiepusha na matatizo.
Hakunaga kitu km hicho,iwe traditionally, biblically or islamically. Huyo dada anamilikiwa na huyo kijana, mali zi chini ya kijana. Mwanamke akipewa hizo mali wasije ilaumu hii dunia, kuna wanaume siku zote wapo pembeni wanaisubiri hiyo bahati wawalize.
 
Back
Top Bottom