Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huyo jamaa anaye onjeshwa kuanzia breakfast hadi Lunch si atapasuka tumbo ?

Maana breakfast ya waheshimiwa huwa sio tu andazi tuwili na chai ya rangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna ka ukweli kwny hili ingawa ni ukweli mchungu,hahah.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah huyo jamaa anaye onjeshwa kuanzia breakfast hadi Lunch si atapasuka tumbo ?

Maana breakfast ya waheshimiwa huwa sio tu andazi tuwili na chai ya rangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Just a little bit sio full plate mkuu.Na wakati mwingine hata rais hali hicho chakula analetewa chakula kutoka ikulu!Kuna kipindi Geita alikuja mama Samia kula dinner na lunch lakini hakula chakula cha caterer aliletewa chakula nadhani kutoka kwa mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa
 
Nawewe ni mmoja wao umekuja kutuchora tu hapa..

Ukute wewe ndio muuza madafu
 
Kitu kama dafu huwa linapigwa sindano ya sumu na huwezi kujua so hakuna kitu kinafanyika bila mpango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maandishi yako ya bibilia kawaandikie wapumbavu wenzako wa kiyahudi.Mimi na matayo na kaisari wapi na wapi.Kaisari waulize warumi mimi raisi wangu Magufuli.Halafu ukiniita tena sina akili nakutukana.
 
Binafsi naona watu wana maoni mengi kuhusiana na Suala hili lakini Ukweli ni Kuwa Yule jamaa anaeuza madafu na yule wa miwa walikuwa katika shughuli zao za kawaida tu na hakuna cha Usalama wa taifa kupanga wala nini maana Yule jamaa hawezi sema atauza madafu yaliyowekwa Sumu na Hata yeye hakujua kama Rais anaweza nunua dafu kwakee...! Ingekuwa kula labda mhahawani hapo mngesema lazima movie ipangwe maana Kuwekewa sumu ni rahisi... Ila madafu 30 yale yote mpaka ukampa dafu lenye sumu ni kazi sana maana anachagua mwenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…