bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 565
- 419
Hahahahaha hahahahahaTutolee uongo wako hapa, nyie ndio maotisha watu kuwa ukiona mtu chizi chizi ujue ni usalama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahahahahaTutolee uongo wako hapa, nyie ndio maotisha watu kuwa ukiona mtu chizi chizi ujue ni usalama.
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe.Hakipimwi mkuu wanaonjeshwa wapishi waliopika
Huu ndio ukweli mkuu,wanaobisha wabishe,niliona kipindi cha jakaya kule kigamboni kambi ya navy alikuwa anakuja breakfast na lunch,ikateuliwa kampuni ya catering kupika kwenye ile event,Kila mara usalama wanapita pita,muda wa chakula kupelekwa sehemu ya kulia chakula ulipofika maana haikuwa kiinaliwa mahali kilipopikiwa,wakati kinawekwa kwenye vyombo maalum vya buffet usalama walikuwa wanamuonjesha mkuu wa ile catering company kila chakula kilichopikwa.Ikafika Lunch utaratibu ukawa ule ule wakuonjeshwa!
She usibishe watu Wana kazi nyingi mjiniWe unayejua amekusimulia nani? Yule ni muuza madafu maarufu sana mitaa yake posta/ mnazi1 b4 magu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyo jamaa anaye onjeshwa kuanzia breakfast hadi Lunch si atapasuka tumbo ?Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe.Hakipimwi mkuu wanaonjeshwa wapishi waliopika
Huu ndio ukweli mkuu,wanaobisha wabishe,niliona kipindi cha jakaya kule kigamboni kambi ya navy alikuwa anakuja breakfast na lunch,ikateuliwa kampuni ya catering kupika kwenye ile event,Kila mara usalama wanapita pita,muda wa chakula kupelekwa sehemu ya kulia chakula ulipofika maana haikuwa kiinaliwa mahali kilipopikiwa,wakati kinawekwa kwenye vyombo maalum vya buffet usalama walikuwa wanamuonjesha mkuu wa ile catering company kila chakula kilichopikwa.Ikafika Lunch utaratibu ukawa ule ule wakuonjeshwa!
Ni Kweli Hata Mie ningemshikia dafu Au Hata ku brush viatu Na sijaandika kwa Chuki Kama ulivyodhani nimeandika kuonesha modern mode of Slavery
Sio ngazi ya Rais Hata Ngazi ya Ukurugenzi wapo wanapokea Mabosi wao Mabegi wakishashuka Kwenye Magari japo sio Madereva wala wahudumu wa Ofisi
Bila ya Unafiki Maisha hayaendi vyema
Just a little bit sio full plate mkuu.Na wakati mwingine hata rais hali hicho chakula analetewa chakula kutoka ikulu!Kuna kipindi Geita alikuja mama Samia kula dinner na lunch lakini hakula chakula cha caterer aliletewa chakula nadhani kutoka kwa mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoaDah huyo jamaa anaye onjeshwa kuanzia breakfast hadi Lunch si atapasuka tumbo ?
Maana breakfast ya waheshimiwa huwa sio tu andazi tuwili na chai ya rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ambatanisha picha tuwatambue bhnNimeeleza hilo katika post yangu namba 2 pale juu mkuu. Kuna vijana wamekuja na kubisha kwa kejeli. Tatizo la hawa vijana wanashinda Instagram kuangalia makalio huku mambo ya msingi yakiwapitia kushoto.
hii lugha yake sijui ya wap tena anasisitiza wewe ni mrongo mrongoWewe ndio "mrongo"..
Atakuwa mkurya tuu huyu..😅hii lugha yake sijui ya wap tena anasisitiza wewe ni mrongo mrongo
Kitu kama dafu huwa linapigwa sindano ya sumu na huwezi kujua so hakuna kitu kinafanyika bila mpango.Aisee
Yani kitu kidogo kama hiko kimekushinda kuelewa
Ok ni hivi kina testiwa tu endapo kama kuna uwakika kuwa atakuja kula.sasa kule mwanza hakuna aliyejua rais ataenda kula pale na hata hayo madafu so ni vigumu yawe na sumu. Ila kama ingejulikana kuwa ana ratiba ya kuyala yange testiwa
LazimaAtakuwa mkurya tuu huyu..
Na huo ndo ukweliUsalama wake hauhusiani na yeye mwenyewe,yale yote unayoyaona yameandaliwa kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapiga makofi watasema umetumwaKatika ziara za viongozi wakubwa hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya . Ni muvi zinazokuwa zimeandaliwa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maandishi yako ya bibilia kawaandikie wapumbavu wenzako wa kiyahudi.Mimi na matayo na kaisari wapi na wapi.Kaisari waulize warumi mimi raisi wangu Magufuli.Halafu ukiniita tena sina akili nakutukana.Utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili kiongozi. Kuna maandiko katika kitabu cha Matayo 22, mstari wa 15-22, yanasema hivi;
15:Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. 16:Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha Herode. Wakamwuliza, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu, na kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote, maana cheo cha mtu si kitu kwako. 17:Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?” 18:Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? 19:Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. 20:Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” 21:Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” 22:Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao."
Acha Unafiki Kijana.