Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

Tunahitaji pia taasisi yakuangalia credentials za wanasiasa kuanzia namba moja mpaka balozi wa nyumba kumi.
 
Kuweza kulifanya jambo ambalo ujasomea sawa na aliyesomea haiwezi kuwa sababu ya wao kukalia ofisi.

Kama hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari lazima kuna vitu watapungukiwa tu hawawezi kuwa sawa na watu waliosomea hiyo taaluma.

Do not underestimate the power of education.

Ukikubali kila mtu afanye anachoweza bila hata kusomea kutakuwa hakuna haja ya watu kwenda shule.

Ndio maana vikawekwa vigezo vya kitaluuma kwa kila kazi.

Wewe kuweza kumchoma sindano mgonjwa akapona ugonjwa wake akukupi justification ya kuwa dokta kisa tu umeweza kumchoma mtu sindano na akapona.

Cha kukushauri kama wewe ni moja ya waliotajwa na mleta uzi rudi shule haraka hujachelewa.
Je unaongeleaje watunga sheria wetu ambao ni eneo serious sana, kuwa na sifa ya kujua kusoma na kuandika?
 
Je unaongeleaje watunga sheria wetu ambao ni eneo serious sana, kuwa na sifa ya kujua kusoma na kuandika?
Hilo ni zaidi ya tatizo.

Hivi mtu aliyeishia la saba dizaini ya kina msukuma anaweza hata kuuchambua mkataba wa DP World ba kuuelewa kweli?

CCM wanaikosea sana hii nchi basi tu kwa vile wananchi wengi bado wamelala.

Karne hii ya 21 yenye wasomi wa kutosha huwezi kukusanya wabunge walioishia la saba eti ndo wawe watunga sheria halafu utarajie la maana.
 
😂😂😂
 
Wengi hapo hawana vyeti vya form four Ila wachache ndo hawajasomea Hiyo taaluma.

Mfano Juma lokole , baba levo , Kitaa , Zimbwela wote hawa hawana form four certificate kwahiyo hawawezi kusoma diploma
Shida sio Form four certificate, si unafanya mtihani wa form four kama private candidate na sioni kama kuna shida. Labda nia ya kusoma ndio hawana maana miaka 9 sasa inapita tangu wapewe maelekezo ya kusoma. Miaka 9 inatosha kusoma mpaka bachelor kabisa sio Diploma tu tena kwa mtu alie na elimu ya darasa la saba tu.

Shida ni ama nia ya kusoma wahusika hawana ama uwezo wa kusoma hawana au kazi ya uandishi wa habari hawaifanyi kama ya muhimu ni kwa muda wa ziada tu hivyo kwenda kuisomea kutawapotezea muda.
 
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️

"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.

Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:

1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa

Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Masoud Kipanya ,Cza wameondolewa.

=>Baba Levo ameweka wazi kwenye kipindi cha One on One kwamba kipindi hichi cha miaka mitano atasomea Diploma maana hata wasafi yeye ,zembwela na kitenge wametemwa kwasababu hawakusomea uandishi wa habari.
 
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️

"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.

Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:

1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa

Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Kwa iyoo🙄🙄
 
Back
Top Bottom