bodi ya ithibati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yatoa onyo kwa Content Creators wanaoripoti Habari na kufanya 'Interviews'

    Waundaji maudhui (content creators) wanaoripoti habari na kufanya mahojiano wametakiwa kupata kibali cha uandishi wa habari (accreditation) ili kufuata sheria Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari (JAB), Bw. Patrick Kipangula, alisema mtu yeyote anayefanya kazi za kihabari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

    Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDOM aihoji Bodi ya Ithibati kwanini Vyombo vya Habari vya Tanzania haviaminiki tena na wananchi? Nani anapaswa kuwajibika?

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema kuwa kukosoa ni haki ya msingi katika jamii ya kidemokrasia, lakini ukosoaji huo unapaswa kufanywa kwa kuzingatia maadili, heshima na ukweli. Akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali inaandaa mpango wa kuwarejesha kazini waandishi wakongwe waliokosa vigezo vya ithibati. Kwanini baada ya Uchaguzi?

    Wakuu, Baada ya wananchi kuwakataa waandishi wa habari sasa relikali inakuja na mbinu ya kuwarudisha wakongwe ili kurudisha imani na kuendeleza uchawa? Miaka tu ya wao kuwa kazini inatosha wao kupewa ithibati? Hii ina athari gani kwenye sekta ya habari? Kwanini baada ya uchaguzi? Tukirudi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Khalifa: JAB wanatakiwa kukemewa na watu wote kwa ukandamizaji wanaofanya kwa waandishi

    Wakuu, JAB mnaingia mpaka chumbani kwa watu mnataka nini? Hamuoni aibu kwa haya mnayofanya? Afadhali kuna mwandishi yuko na ujasiri wa kuongea! Ni zaidi ya fezea kwa waandishi kukaa kimya kuwa na chombo kama JAB huku mnaona kipo kwaajili ya kuwakandamiza. ==== "Mambo vipi? So, ukiwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Zungu apigwa onyo kali kwa kukiuka maadili kuhusu tukio la uchelewaji wa ndege ya ATCL Mwanza - Dar

    JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI Dar es Salaam, 23 Januari, 2026 Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali hatujawahi kwenda kwenye chombo chochote cha habari kufukuza mtu

    Wakuu, Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari? Alitajwa masoud kipanya, fetty na kina Zembwela Gerson Msigwa akiwa anazungumza leo kwenye kipindi cha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi ambao hawajasajiliwa JAB marufuku kuripoti Uchaguzi Mkuu

    Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, ametoa onyo kali na kupiga marufuku waandishi wa habari ambao hawana ithibati kutoripoti kabisa uchaguzi mkuu kwani kufanya hivyo ni kosa la kisheria. Amesema kuwa ni kosa la kisheria kwa mwandishi wa...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtendaji Bodi ya Ithibati: Ni kosa la Jinai kufanya uandishi wa habari bila Ithibati, adhabu ni kifungo miaka mitatu

    Akizungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wakili Msomi Patrick Kipangula Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari amesema kwamba kwa waandishi wa habari ambao hawana Ithibati na wakaendelea kufanya uandishi wa habari...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Walalamikia Kasi na Ubora wa Vitambulisho vyao

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetakiwa kuhakikisha kuwa waandishi ambao maombi yao yamekamilika na kuthibitishwa wanapatiwa vitambulisho kwa wakati, kwani kumekuwa na malalamiko kuhusu ucheleweshaji mkubwa katika utoaji wa vitambulisho hivyo. Aidha, kumeelezwa kuwa ubora wa...
  12. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

    Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali. Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria? N'yadikwa
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawasimamisha kazi Watangazaji wa Mjini FM waliomuhoji Dogo Paten

    Soma pia: Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB): Kama unagombea acha kufanya kazi za Uandishi mara moja

    Wanabodi, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza waandishi wote waliotangaza kugombea nafasi za kisiasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kusitisha mara moja shughuli zao za kihabari ili kuepuka mgongano wa kimaslahi na kulinda usawa kwa wagombea wote. Pia, bodi imetaka...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yatoa muda wa mwezi mmoja kuanzia 22 Mei hadi 21 Juni 2025 kwa ajili waandishi wa habari kujisajili ili wapate "press card"

    Wakuu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 22 Mei hadi tarehe 21 Juni 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini, kujisajili kupitia Mfumo wa TAI-Habari kwa ajili ya kuomba kuthibitishwa na kupewa vitambulisho...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi aitambulisha Bodi ya Ithibati Bungeni, Dodoma

    •Kuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo Na Mwandishi Wetu, JAB. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa 50,000 kwa miaka miwili

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao. Kauli hiyo imetolewa tarehe 18 Machi, 2025 jijini Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi hiyo, Mgaya Kingoba, wakati akijibu maswali wakati wa mahojiano...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
Back
Top Bottom