Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
115
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️

"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.

Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:

1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa

Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
 
Kama hawana elimu inayotakiwa waondolewe tu.
 
Acha uongo wako wewe.
Maulidi alisoma mass comm open University na kina Abdullah majura.
Dina marious alisoma jounalism arusha huko.
 
Hso
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️

"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.

Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:

1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa

Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Hao twajwa hapo huwezi kuwalinganisha na miamba kama Masod na Fetty miamba wa uchambuzi kwa undani
Mimi binafsi nilikuwa nikiwafikiria sana siku za nyuma nikijua tu ipo siku litawatokea hilo.ingawa kuna maneno maneno mtaani kuwa Radio yao na Tv stations zao zipo miongoni mwa zilizopo kwa mkakati maalum kudhoofisha wapinzani
 
Je kuna kitu wanafanya ambao " wenye elimu inayotakiwa " hawafanyi.?
Kuweza kulifanya jambo ambalo ujasomea sawa na aliyesomea haiwezi kuwa sababu ya wao kukalia ofisi.

Kama hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari lazima kuna vitu watapungukiwa tu hawawezi kuwa sawa na watu waliosomea hiyo taaluma.

Do not underestimate the power of education.

Ukikubali kila mtu afanye anachoweza bila hata kusomea kutakuwa hakuna haja ya watu kwenda shule.

Ndio maana vikawekwa vigezo vya kitaluuma kwa kila kazi.

Wewe kuweza kumchoma sindano mgonjwa akapona ugonjwa wake akukupi justification ya kuwa dokta kisa tu umeweza kumchoma mtu sindano na akapona.

Cha kukushauri kama wewe ni moja ya waliotajwa na mleta uzi rudi shule haraka hujachelewa.
 
Unakumbuka interview ya Tv station yao dhidi ya LISSU? kuna binti hapo alilazimisha swali kwa lisu alipobanwa na LISSU "alisusa" kuendelea na mahojiani.na baada ya hapo tukaanza kuona picha za huyo binti mtangazaji akiwa amevaa uniform za chama fulani ambacho kinatajwa na vijiwe vya kahawa kuwa radio&tv stations zao zipo kimkakati
 
Wengi hapo hawana vyeti vya form four Ila wachache ndo hawajasomea Hiyo taaluma.

Mfano Juma lokole , baba levo , Kitaa , Zimbwela wote hawa hawana form four certificate kwahiyo hawawezi kusoma diploma
 
Hi
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️

"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji kutangaza kwa kizingizio kuwa hawana vigezo vya kitaaluma.

Kwa utafiti nilioufanya wanahabari waliozuiwa na Bodi ya Ithibati sio wakosoaji tu, Bali ni WOTE ambao hawajasomea taaluma ya uandishi wa habari; nitaorodhesha angalau wachache wasiotajwa makusudi kabisa na wakosoaji:

1. Juma Lokole ameondolewa
2. Mwijaku ameondolewa
3. Babalevo ameondolewa.
4. Maulid Kitenge ameondolewa
5. Zembwela ameondolewa
6. Mpoki ameondolewa
7. Idris Kitaa ameondolewa
8. Masanja Mkandamizaji ameondolewa
9. Dina Marios ameondolewa
10. Swebe Santana ameondolewa

Hawa WOTE ni watangazaji katika vituo vikubwa hapa nchini kwa miaka 7 mpaka 20, lakini watu hawasemi kuwa wameondolewa hewani, wanasema ni wachache tu ambao ni WAKOSOAJI jambo ambalo si la kweli kabisa.
Hivi huyo no. 4 M. Kitenge hajasomea??
 
Huu wakwako ni upotoshaji aisee, siku hizi vichwa vya watu vimefunguka sana, vina elimu, vinapambanua sana mambo huwezi kuwadanganyq kwa propaganda za hivi...baadhi yao ukiletewa vyeti kuonyesha mahali walikosomea utakimbia wewe
 
ndio gentleman,
unaweza kupata udahili kwenye vyuo vya VETA bila kua na cheti cha form four lakini pia bila hata kufikia tu elimu ya form four 🐒
Je VETA wanatoa udahili wa Uandishi wa habari .
 
Hii serikali ni hatari kuliko Ile ya Makaburu wa SA.Makaburi walipigana na wanachama wa ANC waliokuwa wamebeba silaha.Hii serikali inawabebea silaha na kuwatwanga wapinzani na raia wasio na silaha ,walionyanyua mikono na vitambaa vyeupe juu,wakiashiria amani, upinzani bila maguvu🤔
 
Je VETA wanatoa udahili wa Uandishi wa habari .
Teknolojia ya habari na Mawasiliano (ICT) ni miongoni mwa kozi za muda mrefu VETA, ndani ya kozi hii muhimu unaweza kujifunza uandishi wa habari na mambo mengine yanayofanana na hayo 🐒
 
So wanaweza kufika hapo but I'm not sure kuhusu hilo
 
take it from me,
kozi ya ICT ipo veta na ni kozi ya muda mrefu na unaweza kuanzia chini kabisa sambamba na kozi nyingine unazozifahamu na kufikia kiwango sawa na bachelor, masters n.k na ukathibitishwa na kupewa cheti cha masuala ya habari na mawasiliano kuondokana na changamoto za kitaaluma kulingana na sheria.

the early the better 🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom