Sio kwamba ninawadharau!

Sio kwamba ninawadharau!

Ukiapply bodmas hapo unabaki na 6-:-2 kitu ambacho kimahesabu hakipo(MATH Error)
 
jibu ni 1 kweli
BODMAS inasema bracket open kwanza so unafungua kwanza mabano 2+1=3 and 6/2*3 then division 6/2=3 and 3/3=1.....
 
Nimeingiaje humu dah! wacha nijicheke tu...
 
Yale yale ya y+x=z fnd y, sasa y c hyo hapo uitafte wakati inaonekana wazi
 
Nilikuwa naona aibu kuweka hiki kijiswali chekechea but as usual watu wanapiga sarakasi hapo juu mpaka bhaas!
 
jibu ni 1 kweli
BODMAS inasema bracket open kwanza so unafungua kwanza mabano 2+1=3 and 6/2*3 then division 6/2=3 and 3/3=1.....

dah, ungebadilisha hiyo id hapo ningekuelewa sana!, kifupi umeidhalilisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom