Hello!
Bidhaa ambazo naona hazijapanda bei kwa Dar es salaam hii ni nyama, chumvi, viberiti, mbao basi.
Maji yamepanda bei
Nguo zimepanda bei
Vifaa vya shule vimepanda bei
Vyakula vimepanda bei
Nondo zimepanda bei
Misumari imepanda bei
Cement imepanda bei
Mabati yamepanda bei
Gypsum board imepanda bei
Rangi imepanda bei
Ngano imepanda bei
Soda na juisi zimepanda bei
Mafuta ya kula yamepanda bei
Diesel imepanda bei
Petrol imepanda bei
Mafuta ya taa yamepanda bei
Vifaa vya ofisini vimepanda bei
Mboga mboga hazijapanda bei.
Kuna haja ya kukubaliana na ukwell.
DUNIA nzima inataabika na Inflation.
Kuna shortage ya Vyakula World wide.
Uingereza inakabiliwa na Inflation at 11%
Bei ya Mafuta imepanda World wide...
Na bado itapanda...this time around Ulaya ni kipindi cha Joto..but soon wataenda kwenye Baridi...bei itapanda zaidi japokuwa wanatumia Alternative Fuel Resources kupambana na mambo ya House Heating etc....
Punguzo la bei ya Mafuta hapa Nchini siyo suluhisho...
Bei ya mafuta iendane na Bei ya Soko lakini Serikali ipambane na kununua Nafaka popote pale.
Hii ni Energy inayohitajika kuendesha maisha ya watu...
Energy ya kuendesha mashine ni muhimu but can be adjusted....
Food security unasababisha political stability...
Huko majumbani kwetu tusiishi kwa Mazoea...
Tubadili muundo wa Maisha...
Tuishi kuendana na wakati...
WASALAAM.