Ata aliequote apa ni Behaviourist [emoji4]Kweli kabisa
Na ww miguu yako mizuri nani atakuacha kukupasua ......nyie ni hawa. .Naona mnahalalishiana taratibu taratibu
Tutakufanyia maandamano hadi kwako.... Ujue sisi ni HAWA au vipiMungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Leo umekula maharage ya ubarikio nini!!Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hasa uwe na uwezo wa kuwalisha,kuwavisha na kuwapiga miti. OverKabisa mkuu; kama uwezo unao na nguvu unazo basi rukhsa