Acha ushamba,za kuku
Ee msosi kwanza,maua bustanini
Acha hizo,kuku wapo hadi vijijini. Kwan huko hamjui kuna kukaanga na kurosti?
Katika "Valentine day" watu wanasherekea kipi maana ninavyojua mapenzi hayana sikukuu cha zaidi ni kupendana na kujaliana muda wote,
Zawadi si mpaka Valentine na mnaosubiri siku hiyo ili kuonesha mapenzi yenu kwa wapenzi wenu basi mnakosea sana...
Pamoja na sikukuu hizi ila wapenzi,ndoa zinavunjika kukicha
Utajiri huo
Hahaha aisee
Acha hizo hapo nashushia kwa chips