Sio kila mwanamke wa Kula

Habari,

Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.

Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.

Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Kama wewe ni expensive hutamla mwanamke yoyote anaye pita mbele yako. La sivyo wewe ni cheap kuliko wao
 
" roho hii radhi lakini mwili ni zaifu " tutakumbushana sana hivi vitu lakini siku hizi wanaume tunapitia changamoto kubwa unashangaa umetumiwa nudes na mke wa mtu alafu unajaribu kukausha kwa hekima anakuuliza mbele za watu akikuona " ule mzigo nilio kuonyesha unaupa asilimia ngapi? " Just imagine .........kiukweli ukikosa kujisimamia kidogo tu!! Unajifedhehesha milele
 
Halafu wake za watu siku hizi ndio wamekua wasumbufu na ving'ang'anizi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…