Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Ila kuna watu hawana kinyaa aisee..Habari,
Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.
Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.
Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Wanaume Tunakutana na vitu vingi jamani, Mungu tu ndo anayejua.Noma sana!
Kaka mkubwa kama watu wanaweza kunyonya kinyeo kipi unadhani hawataweza kufanya.Ila kuna watu hawana kinyaa aisee..
Hatari sanaSaivi mambo mepesi sana
Unaguna Hauamini au
Inasikitisha sana wakuu.Mwanaume unachukuwa uchafu wa njiani unampelekea mke wako aliyetulia nyumbani, ni uuuuungwana? Ni dhambi kubwa.
Umesema kweli kabisa. Na watu makini watazingatia maana kufanya hayo ni Ujinga mtupuHabari,
Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.
Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.
Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Una uhakika gani kuwa KATULIA NYUMBANI ????Mwanaume unachukuwa uchafu wa njiani unampelekea mke wako aliyetulia nyumbani, ni uuuuungwana? Ni dhambi kubwa.
Nzi haogopi kofi wala spraysMwanamke ambaye hujafuatilia nyendo zake na kujua historia ya mahusiano yake na vipimo vya afya yake kamwe usijiingize kwenye dimbwi la mahaba naye, utakuja kujuta kisa mkojo wa dkk 3.