Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu

Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,055
Reaction score
1,529
Credit: Pastor Jesse Matosha

#SIO KILA MAMLAKA IMETOKA KWA MUNGU.

ACHENI KUTAFSIRI WARUMI 13:1–7 NJE YA MUKTADHA!

Watu wengi wamekuwa wakitumia Warumi 13:1–7 kama silaha ya kunyamazisha watu dhidi ya dhuluma, ufisadi, ukandamizaji, na udikteta — kana kwamba kila kiongozi aliye madarakani ni chaguo la Mungu!
Lakini huu ni upotoshaji wa Maandiko!

📖 “Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.”
(Warumi 13:1, Biblia Takatifu)

Swali:
➡️ Je, Paulo alikuwa anamaanisha kila dikteta, muuaji, fisadi, au mtesaji ni chombo cha Mungu?
Jibu ni hapana! Paulo alikuwa anazungumza kuhusu mamlaka ya haki inayotumikia watu na kushikilia mema — si mamlaka ya uovu!

🚨 MAANDIKO YANATHIBITISHA: ZIPO MAMLAKA ZISIZOTOKA KWA MUNGU!
Ngoja nikupe mifano:

✅ Luka 4:5–6 – Shetani alimwambia Yesu:
“Nitakupa mamlaka hii yote… kwa kuwa imekabidhiwa kwangu, nami humpa nitakaye.”
🔴 Hii inaonyesha wazi kwamba zipo mamlaka Shetani huwapa watu — si Mungu!

✅ Ufunuo 13:1–2
Mnyama alipokea mamlaka kutoka kwa joka (Shetani).
🔴 Hii ni mamlaka ya kishetani, inayotesa watu wa Mungu!

✅ Hosea 8:4
“Wamejifanyia wafalme, lakini si kwa mapenzi yangu.”
🔴 Kuna viongozi waliowekwa si kwa mapenzi ya Mungu bali kwa hila na mapenzi ya wanadamu!

✅ Isaya 10:1–2
Ole wao waandikao amri za uovu... kuwageuza wanyonge haki yao.
🔴 Mamlaka inayotunga sheria za dhuluma si mtumishi wa Mungu!

✅ Matendo 5:29
“Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.” – Mtume Petro
🔴 Wakati mamlaka ya mwanadamu inapingana na Mungu, alikataa kuitii, Kwani imetupasa kumtii Mungu kwanza!

✋🏽 WARUMI 13:1–7 ISITUMIKE KAMA SILAHA YA KUNYAMAZISHA WATU WANAOPINGA DHULUMA!

➡️ Paulo alihimiza utii kwa mamlaka inayotenda haki, si kuhalalisha utawala wa mabavu!
➡️ Yesu mwenyewe alikataa kumtii Herode (Luka 13:32) na akamwita mbweha!
➡️ Yohana Mbatizaji alikemea uovu wa mfalme na akakatwa kichwa – lakini hakunyamaza!
➡️ Nabii Danieli alikataa kumtii mfalme aliyemzuia kumwabudu Mungu. Hata ilipombidi kutupwa katika tundu la Simba ili afe. Alichagua kusimamia kweli.

Mt. Paulo aliwaandikia Warumi BARUA hiyo ili kuwarekebisha wakristo ambao walikataa kuheshimu serikali kwa kutolipa Kodi, kwa kutotii sheria halali za dola la Rumi wakidai kwamba wao hawatawaliwi na wanadamu Bali wanatawaliwa na mamlaka ya Mungu pekee!

Jambo Hilo lilipelekea mvutano kati ya serikali na wakristo Sasa Mt. Paulo akaona hali hiyo itapelekea kanisa kutukanwa na pia ukristo kupingwa na serikali hivyo akawaandikia watii mamlaka ili wasijiingize katika mivutano isiyo ya lazima.

Ni muhimu ujue huo muktadha kabla ya kulivamia Hilo andiko na kulitumia upendavyo. Kuhalalisha udikteta au uongozi wa kidhalimu.

✅ HITIMISHO:

✋🏽 Acheni kutumia Warumi 13:1–7 kuhalalisha uongozi wa kishetani.
✋🏽 Mamlaka ya kweli huwahudumia watu kwa haki na hofu ya Mungu.
✋🏽 Ukiona dhuluma, simama! Ukiona ufisadi, sema! Ukiona uongo, kataa!
✋🏽 Wakristo si mashabiki wa dhuluma – bali ni nuru na chumvi ya dunia!

🕊️ Tetea haki. Simama na ukweli. Mtii Mungu kwanza.

#Warumi13KwaMuktadha
#SioKilaMamlakaImetokaKwaMungu
#BibliaSioKisingizioChaUovu
#KristoNdiyoKiongoziWetu
#SimamaNaHaki
 
Sasa i

Sasa inatoka wapi 😄
 
Hili somo nilishalielewa kitambo sana.
 
Mimi nilijifunza kwenye moral philosophy kwamba hakuna anayelazimika kutii mamlaka dhalimu au maelekezo yasiyo sahihi/halali. Mfano, mtu anayekulazimisha kutenda dhambi/kosa hulazimiki kumtii. Unalazimika tu kutii maelekezo sahihi/halali. Hivyo, tafsiri isiyo sahihi kwamba 'kila mamlaka inatoka kwa Mungu' haijawahi kuwa sehemu ya imani yangu au mfumo wangu wa fikira.
 
Back
Top Bottom