PreGE2025 Sio kila jambo la kisiasa ni la kulitolea tamko mengine kubali yakupite

PreGE2025 Sio kila jambo la kisiasa ni la kulitolea tamko mengine kubali yakupite

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ... Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Gwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
 
Kuna mambo unaweza ukazungumza kwa nia njema ila ukakosea kwenye uwasilishaji yakazua taharuki
Gwajima ni kichaa!
Kumbuka video yake ya mwaka 2014 alivyomtukana askofu Polycap Pengo kama mvuta bangi fulani hivi!
Mara oo askofu Pengo kala maharage ya wapi?!
Mara oo Kawa kama mtoto mdogo anavaa pampas?!
Mara ooo Pengo hana akili! na matusi mengine kibao!
 
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..

Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo

Uzuri Gwajima kasema atarudi tena na tena na akirudi tena haitakuwa nyoronyoro.

Pole pole mtekaji mkuu atawacheua akina mdude wakiwa hai.
 
Gwajima ni kichaa!
Kumbuka video yake ya mwaka 2014 alivyomtukana askofu Polycap Pengo kama mvuta bangi fulani hivi!
Mara oo askofu Pengo kala maharage ya wapi?!
Mara oo Kawa kama mtoto mdogo anavaa pampas?!
Mara ooo Pengo hana akili! na matusi mengine kibao!

Ni mpumbavu pekee anayeweza kuyapinga yaliyosemwa na Gwajima.

Kwani utekaji haupo? Kwani haupaswi kukomeshwa, wahusika kuwajibishwa na walioathirika kurejeshwa salama makwao?
 
Back
Top Bottom