Sio kila EX ni expired zingine ni example

Tunaishi katika jamii iliyojaa unafiki. Hulka na desturi zetu haziamini katika mambo mapya. Haishangazi kuona hata mitumba ikizuiwa nchi inatikisika. Ndio maana aliezoea kula ndizi ukimpa ugali anasema hashibi, mweye kuzoea ugali ukimpa magimbi hataki. Jamii isiyo "reason" zaidi na zaidi ni kuishi kwa mazoea.
 
Kuna mmoja aliwahii kuniuliza Upo wapi nimekumiss Sanaa...Ukirudi jitafutee! Khaaa kuna wengine hata wakiolewaaa unawalaa tuu
 
Una akili sana mkuu,,umenena ukweli ulio uchi kabisa
 
Kabla sijacuangia naomba kujulishwa hili no jukwaa gani ? yamkini nimepotea
 
Oeni bana acheni woga, kugongewa kawaida tu mbona, kwani sh ngapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…