Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

kumuogopa x wake et atakutana nae sijui wakumbushie. ni ujinga kunamengi ya kufikiria kwenye familia, hebu acha kuwaweka wana ndoa roho juu.
Bora uwaambie

Kama waliamua kuachanA iwe kwa shar au kwa ustaarabu bas hayo yalishapita huwez kwenda mbele kama bado unasoma chapter za nyuma.
 
Daaah aisee, hizi fact nyingine zinakatishaje tamaa...huu ni ukweli unaoumiza. Ukianza kusikia baby wako anawasiliana na x wake eti salamu tu pia ujue mambo ya kupasha viporo coming soon...

Usiombe ujue yanayotokea yaani utatamani uwe bachelor Mara ya pili na watoto mlio wazaa utasahu kama wanahitaji Upendo wenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…