Sio kila ajali ni bahati mbaya

Mungu zijaalie familia za watu hawa ziwe na maisha ya ustahimilivu,kwani ndugu zao hawa wanaweza kuwa wageni wako ghafla
 
Duh!! Hii bab kubwa. Ni ubunifu.
 
ubunifu ukizidi sana huleta matatizo.
 
Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu
 
Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu

Aaah wapi labda kije kizazi kingine kabisa hawa wa sasa ni polisi deal polisi maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…