Sio kama zamani,sasa wanacheze beat ya serikali ya CCM kwa lazima

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Waswahili husema kila zama na zama zake.Naona zile zama za serikali kucheza beat ya upinzani zimeshasahaulika na kinachoonekana sasa ni tofauti kabisa na tulivyozoea.

Zama za magufuli ukisikia wapinzani wanatoa tamko we jua tayari kuna mahali wameshabanwa sasa imekua kama mfa maji hawezi kufa huku katulia,ni mateso na mahangaiko.Wakati wa zama zilizopita ukiwasikia tu basi jua ni habari za ufisadi,escrow na vitu vifananavyo na hivyo.

Leo tunaambulia kusikia Salum Mwalimu kagoma kula,ukiuliza tatizo nini?Unajibiwa sasa ni siku ya tatu amepumzishwa mahali salama na dhamana hakuna hivyo ni katika kushinikiza dhamana sasa ameona agome kula.

Vipi leo mtatiro ameitisha press kuna nini?utaambiwa Magufuli hizi ziara zake za Zanzibar amepiga nondo kweli kweli kiasi ambacho ametafsiriwa tofauti,wanasema raisi haheshimu utawala wa demokrasia.

Kweli Magufuli alisema kweli,"Ukiona nyota anatikisa mkia jua tayari umeshamponda kichwa".Naona sasa watu kila kukicha ni vilio tu.Kwa wenye akili tunajua sindano ndio zinaingia hivyo.

Naam hizi ndio zama za Magufuli,ukiingia mitandaoni headline ni Magufuli,magazetini Magufuli,radio na luninga zote ni Magufuli tu.

Hakuna namna kwa wapinzani kwani kwa sasa hawawezi andika habari mpaka Magufuli afanye tukio.Tizama kuanzia safari ya pemba na hata jana Unguja utagundua kwa sasa wapinzani wanachezeshwa,na kuimbishwa kwelikweli na serikali ya CCM.

Ni miezi takribani tisa sasa tangu Magufuli aingie madarakani,muda ni mfupi sana lakini wapinzani wameshaonesha kuchoka mapema kabisa kiasi ambacho wanaishia matamko yasio na kichwa wala miguu.

Baada ya ziara ya Zanzibar muwe wenye subira,ziara za mh Raisi zakushukuru bado zinaendelea,wapinzani endeleeni kufanya maandalizi yakuandika habari na kutoa matamko. kwani ndio siasa mliobakiza
 
Time will tell
Uzuri anawachana live ili hata yule aliye nyikani basi asikie na kuelewa
 
Truth and nothing but the truth.
 
Magufuli bado ananyosha mafisadi na wa misheni town, hamna namna zaidi ya kumuelewa kuwa jamaaa hana utani.
 
Yaani serikali ya awamu ya tano ni bure kabisa. Imejawa na wasema hovyo kuliko wanavyotenda mambo yenye manufaa kwa wananchi. Utadhani ni serikali ya walevi.
 
32c92a552c34d6feeea861d462a52224.jpg
 
Leo unahangaika sana!Nyuzi zako zinakosa wachangiaji mpaka zinapotea basi unabuni nitoke vipi nyingine,hata huu ngoja tuupuuzie kwasababu umejaa mahaba na mihemko!Kazana uje kivingine
 
Back
Top Bottom