Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno


Mara nyingi wazee wa misambwanda ndivo wanavokua, ni wakimya sana aisee ukiwaona kama siwo hivi
 
MBA- Marriage but available, na kwa hali halisi si busara kwa mwanaume kuwa na mke mmoja kama unao uwezo wa kuwatunza zaidi ya mmoja.
Hahaha MBA hili neno sijalisikia siku nyingi hadi nilikuwa nimelisahau. Aah basi bwana I give up nilikuwa nakuzengea ila mi siwezi kuolewa mitala nina wivu sana
 
Wagongwe tu maana hakuna namna, tumechoka na mikeleleyao. Piga keleleeeeeeeee!!!!
 
umenena vyema.
 
I see Me
 
Mie mwanaume mpigaji namuona hana akili timamu na hajiamini, you cannot shape me by beating me, kiukweli kwangu ndo umeharibu walah, kwanza unipige ukiwa ka nani. Mtu wa kunipiga hakika patachimbika walah, mahusiano ni maelewano tumechokana mind ur own business, nikiona mwanaume anajifanya mpigaji naona hajiamini, napenda matured man tunayeweza kuongea na ku settle our differences Bila kupeana treatment za kitoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…