Sio hadithi za Shigongo hizi. It is true story guys

Aise kama sijawahi kufanya nae sex hata mara moja na amekuja geto na mmelala kitanda kimoja basi huyo msichana akaupendi yupo hapo kwa ajili ya ndoa tu na hana hisia za kimapenzi na wewe,pia na wewe sidhani kama ni rijali aka shababi nenda lolliondo kwa babu ukapate kikombe.
 
Hongera sana mkuu.me mwenzio kuna wawil walishaga nipa mtihani kama huo nikaushndwa.matokeo yake tukaishia ku do.
 
umefanya vizuri sana,hapo umejijengea uaminifu mkubwa kwa huyu demu wako,ameamini kuwa wewe unaweza kujizuia usifanye ngono hata kama kishawishi kiko hapo pembeni
 
Hivi kwani hadithi za Shigongo zikoje?

Nini usiku mmoja bana? Huyu bibi yenu huyu..... Nlishawahi mbonji naye siku tatu bila kumvua andawea. Mpaka leo ananambia mie ni a real gentleman.

Inanisaidia sana hata akinikuta na kidemu nikimwambia usihofu, ngono si ugonjwa wangu hunijibu fasta "yeah, i know".

Asee Asprin wacha nigugo kama ni kweli....
 
Last edited by a moderator:
Aise kama sijawahi kufanya nae sex hata mara moja na amekuja geto na mmelala kitanda kimoja basi huyo msichana akaupendi yupo hapo kwa ajili ya ndoa tu na hana hisia za kimapenzi na wewe,pia na wewe sidhani kama ni rijali aka shababi nenda lolliondo kwa babu ukapate kikombe.
king kong nani alikwambia kua sex ni kipimo cha mapenzi ya kweli??ina maana mwanaume kudo ovyo ndio kipimo cha urijali??
 
Last edited by a moderator:
Thats the sign of a gentleman.
Eti eeeh, unacheza na wanawake wewe? Sasa subiri atakapopigwa chini na kujuta kwa nini hakuforce tu ale mzigo alipopata nafasi. Nina experience ndefu sana na hawa watu tena siyo mmoja. Kuwa as likondoo as you can, siku yeye atakapoamua, you confuse. Yaani huyo unayemwonyesha respect hiyo, siku atakapokugeuka hatajali kabisa. Maana anajua huna unachoweza kusema juu yake. Akikupiga chini njoo tusimulie pia!
 
Asante sana wachangiaji! Nikisema ni reply with quote itakuwa ni thread kubwa! Japo wengine wameponda,hawakuamini kama ni kweli,all in all nashukuru sana tena,make coments nyingi zinashauri vizuri. Big up kwa walioshauri vizuri,lakini big up pia kwa waliochukulia poa.
Cha kuongezea; Huyu demu kama nilivyosema sijawahi ku do naye,na nilimwomba twende kulala wote home coz ilikuwa tayari ucku ka wa sa 5 [tano]hv,but pale labda alipo nikumbatia kidogo nilikuwa nakuwa hot kweli,lakini simchokozi hata kidogo,akaamka asubuhi,mimi nikamwandalia maji mwenyewe nikampelekea bafuni nikarudi ndani. Alipotoka ndo akaniambia I love u Jery. Nikareply me too! So,hii kitu imenitokea 4 the 1st time. Sasa cjui ikitokea akataka kuja lala na mimi tena na akatoa tena condition hyo nimkubalie hapo,au nimtolee uvivu!! Kiukweli ni ka mtihani aisee. But mmenifanya nijisikie safi kwa maoni na mitazamo yenu! Thanx all.
 
Eti eeeh, unacheza na wanawake wewe? Sasa subiri atakapopigwa chini na kujuta kwa nini hakuforce tu ale mzigo alipopata nafasi. Nina experience ndefu sana na hawa watu tena siyo mmoja. Kuwa as likondoo as you can, siku yeye atakapoamua, you confuse. Yaani huyo unayemwonyesha respect hiyo, siku atakapokugeuka hatajali kabisa. Maana anajua huna unachoweza kusema juu yake. Akikupiga chini njoo tusimulie pia!

Sasa hilo swala kidogo linanipa headache! Kwamba itakuwa vip anipige chn ghafla. Atanionaje? Lakini kwa sasa hatuna mitazamo ya kupigana chini. Na kweli akinipiga chini nitarudi kusimulia nini kilitokea
 
Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado. Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa,nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu akalale kwao ataenda kesho,make hajawai kulala kwangu wala hatujawahi ku have sex. Basi akaniambia naenda sawa ila plz tusigusane,kama dada na kaka,nkamwambia poa! Akakubali,akaja tukaenda wote geto. Tukalala,sikumgusa mpaka kukakucha.tena kitanda kimoja. Na wala yeye hakunisumbua japo kuna mda msee yangu alikuwa ana wake up! Nikavumilia mpaka cku ikaisha. Na huyo huyo ndo nataka aje awe mama watoto wangu huko mbeleni!
Sasa je,najiuliza atanichukuliaje? Ataniona mstaarabu kwa kutovunja sharti lake?au atanihisi simpendi au sijui mambo hayo? Maana cjamuuliza amenihisije kwa kuwa mkarimu vile,nasubiri wana Jf waniambie ukweli. Changia as much as u can!..

iko safi kdogo maana mwke akija geto kwako anajua kupona ni asilimia chache. So kichwan kaanza kujenga imani ya kuwa na mtu mvumilivu na mstaarabu. Endelea kuchunguza mengine miezi6 bdo ni kidogo sana
 
Kwahiyo hata kama amfanyi tendo na busu hampeani? Maana ok ni vizuri mnachofanya. Ila kama weye kaka angu ningekushauri uwahi kumuuliza maswali haya machache kwanza/ nawe jifikirie na kujijibu.
1. Ameshalala na mtu kabla yako
2. Yeye imani yake na kutotaka mlale wote
3. Ongelea ukimwi na kwamba unataka mkapime usisahau hili
4. Mmhh fikiria miezi sita mnatoka ok kweli s** sio lazima ila ulipomwambia alale kwako I hope alikuwa anaogopa hm watasemaje yeye kutokurudi kwa kulala nje au etc? Fikiria ilivyokuwa
5. Fikiria unasema mkeo mbeleni je tendo mnasubiri hadi hapo mbeleni ukimuoa au? Maana dunia ya siku hizi kuonja na kujua kilichomo kinasaidia we acha tu asikundanganye mtu, binadamu wengi waongo. Usidanganyike mie mwanamke najua nachokuambia.

Ok later
 
atakuchukulia una malengo nae.kupendwa siyo sex tu.But heshima mnayopeana kabla ya ndoa.ni nzuri sana.hamtochokana kamwe.ila hayo mambo ya kulala pamoja acheni.You can have fun by outgoings,matembezi mbalimbali.lakini kulala pamoja.ipo siku mtashindwa kuvumiliana.
 
Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado. Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa,nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu akalale kwao ataenda kesho,make hajawai kulala kwangu wala hatujawahi ku have sex. Basi akaniambia naenda sawa ila plz tusigusane,kama dada na kaka,nkamwambia poa! Akakubali,akaja tukaenda wote geto. Tukalala,sikumgusa mpaka kukakucha.tena kitanda kimoja. Na wala yeye hakunisumbua japo kuna mda msee yangu alikuwa ana wake up! Nikavumilia mpaka cku ikaisha. Na huyo huyo ndo nataka aje awe mama watoto wangu huko mbeleni!
Sasa je,najiuliza atanichukuliaje? Ataniona mstaarabu kwa kutovunja sharti lake?au atanihisi simpendi au sijui mambo hayo? Maana cjamuuliza amenihisije kwa kuwa mkarimu vile,nasubiri wana Jf waniambie ukweli. Changia as much as u can!..

Anakuchukulia wewe hamnazo,na hatamani tena kuolewa na wewe.
"kwenye mapenzi hakuna diplomasia wewe".
 
yaani iwould highly appraise such a man who would respect me that much,,, sio mijitu mingine unaiambia tusigusane unakuta usiku inajidai imepitiwa kimkono kinaaanza kupapasa kusiko khaaa men plz fuateni mfano wa huyu mkaka.... like like like like
 
safi kwa kujaribu zoezi ambalo lime washinda wengi. kweli kama anakupenda kweli hawezi kukuacha na mtafika mbali. we ni mwanaume! pengine watu wengi udhani urijari unapimwa kwa kufanya mapenz ambavyo si kweli, je tujiulize je ni wangapi wana wake na watoto lakn tunapokea kesi zakuto ridhishana! kama we unafikiri ku do ndio urijari kuwa uyaone.
 
Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado. Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa,nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu akalale kwao ataenda kesho,make hajawai kulala kwangu wala hatujawahi ku have sex. Basi akaniambia naenda sawa ila plz tusigusane,kama dada na kaka,nkamwambia poa! Akakubali,akaja tukaenda wote geto. Tukalala,sikumgusa mpaka kukakucha.tena kitanda kimoja. Na wala yeye hakunisumbua japo kuna mda msee yangu alikuwa ana wake up! Nikavumilia mpaka cku ikaisha. Na huyo huyo ndo nataka aje awe mama watoto wangu huko mbeleni!
Sasa je,najiuliza atanichukuliaje? Ataniona mstaarabu kwa kutovunja sharti lake?au atanihisi simpendi au sijui mambo hayo? Maana cjamuuliza amenihisije kwa kuwa mkarimu vile,nasubiri wana Jf waniambie ukweli. Changia as much as u can!..

kaka umemuweza sana! si unajua mkiwa ndani ya ndoa huwa wanagomea sex ili kulazimisha maamuzi yao! sasa yeye atagomea nini maana anajua wewe hupapatikii sex! aah patamu hapo. Nakushauri mchukue tena siku ingine halafu mkaoge wote na tena usimguse! atakuheshimu mpaka kesho!
 
Nimependa sana ulivyofanya sio wote wanaweza kufanya hayo na ukizingatia ni nyumbani kwako,kuna wengine wanakuitikia vizuri ukifika ndio unakiona kilichomtoa kanga manyoya....
 
Back
Top Bottom