Sio fair kuhusisha Taarabu na Ushoga

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,489
Binafsi ni mpenzi wa muziki especially Hip Hop that doesn't mean I don't listen to other kind of music. Muziki wowote mzuri mi nasikiliza nyuma nilikuwa napata shida kusikiliza muziki wa taarabu mbele ya watu nilikuwa natumia sana earphone napotaka kusikiliza taarabu na hii yote ilisababisha na jamii ambayo inaamini mwanaume anayesikiliza taarabu sio riziki.

Hiyo sio fair ushoga ni mtu sio vitu by the way kwenye dunia hii kuna watu wanaimba hiphop ngumu na still ni machoko. Ifike time tuache kuwa na mawazo yasiyo na mantiki Bali tuangalie facts.

Kuhusisha taarabu na ushoga sio sawa infact kuna taarabu za kina Issa matona zinaelimisha kuliko hata hizo Bongo Flava.

The infinite BabaMorgan
 
ngoja joanah aje nisikie nae anasemaje

Kuna mambo jinsia fulani ikifanya anaonekana/tafsiriwa tofauti...

Mfano
Hiyo kusikiliza taarabu
Wanaume wawili kutembea wakiwa wameshikana mikono
Wanaume kupakatana

Mind you, hayo yote wakifanya msichana kwa msichana ni kawaida

Kimsingi binafsi sidhani kama ni kosa mwanaume kupenda/kusikiliza taraab....japo naona sio kawaida
 
mwanaume anayesikiliza taarabu sio riziki

kwa sababu ni mziki wa mipasho ambayo hupendwa na upande wa pili.

so, wewe unapenda mipasho?
Sio kweli, kuna watu huamua kusikiliza muzik wa taarab kulingana na ujumbe uliomo ambao umepangwa kwa vina na mizani kwenye beti za mashairi ya taarab.
Kibaya tu ni kuwa taarab inapendwa sana na wanawake kwa sababu za mipasho sasa na wale wenzetu wenzao nao ni kama wenzao nao wanapenda mipasho
 
Kuna mambo jinsia fulani ikifanya anaonekana/tafsiriwa tofauti...

Mfano
Hiyo kusikiliza taarabu
Wanaume wawili kutembea wakiwa wameshikana mikono
Wanaume kupakatana

Mind you, hayo yote wakifanya msichana kwa msichana ni kawaida

Kimsingi binafsi sidhani kama ni kosa mwanaume kupenda/kusikiliza taraab....japo naona sio kawaida
binafsi nimefurahi tu kukuona, 😍
mengine tena staki kujua.
 
Kuna mambo jinsia fulani ikifanya anaonekana/tafsiriwa tofauti...

Mfano
Hiyo kusikiliza taarabu
Wanaume wawili kutembea wakiwa wameshikana mikono
Wanaume kupakatana

Mind you, hayo yote wakifanya msichana kwa msichana ni kawaida

Kimsingi binafsi sidhani kama ni kosa mwanaume kupenda/kusikiliza taraab....japo naona sio kawaida
Taarabu ni mziki(kuna melody, beats na mashairi) hivyo vingine ulivyovitaja sio vitu vya kawaida kwa hiyo kuvicompare na kusikiliza taarabu ni wrong
 
Back
Top Bottom