Sio dada yake ila mdogo wake ndiye chaguo langu

There is a lot of girls are hanging over the street.
Piga chini Dada MTU, mdogo MTU akichomoa na yeye piga chini pia ingawa roho itakuuma Mwisho wa siku roho itapoa.

asante kwa ushauri wako..'l working on it...
 
Upendo wangu na haupo kwake kiukweli upo kwa mdogo wake, lakini nilishindwa kuwa wake kabla ya dada yake kufanya mambo yake kweli nimeamini chelewa chelewa utakuta mwana si wako'.

Kwa jinsi nilivyompenda mdogo wake sijui ni nini kilichonifanya nisimwambie.Nahisi ule usemi wa 'subira huvuta heri' ulinipumbaza, ona sasa kaniwahi dada yake na mdgo wake katambua.

Jamani nilimpenda na bado nampenda mdogo wake ila mazoea ya dada yake kwangu yamechukua sura nyingine.Niliona njia rahisi ya kumpata mdogo wake ni kuzoeana na dada yake, lakini sasa dada yake kanizoea vibaya .

Hadi kufikia kuniomba namba yangu ya simu haikutosha akaamua kunitamkia kabisa eti anataka kuwa nami bila kujua kama mimi nina malengo na mdogo wake.

Nahisi ndoto zangu kupotea, nipo katika wakati mgumu sana sijui nimjibu vipi dada yake na sijui nitampata vipi nimpendae na wote wanakaa nyumba moja.

JAMANI EEH!

Nimemtongoza na dada yake msichana ninaempenda, bado sijamjibu chochote nimekata mawasiliano kwa muda ili kutafakari.

Tafadhali anayeweza kunishauri

nipe dada yake!
 
Dah iyo ilishawah kunitokea nliishia kukosa wote,alafu inakuwa hv dada mtu huwa wanajua kuwa unampenda mdogo wake so atafanya kila njia akupate au ukose vyote,na pia mdogo mtu lazma hamwamn mdogo mtu so kwa vyovyote vile utakosa wote pole ndo hvyo
 
avatar yako haifanan na maneno yako
 
Mission kama hizo nazipendaga sana hapo unatumia formation ya 4-4-2.. shambulia wote.. hakikisha points 3 zote zako hata ikiwa ushindi mwembamba sio mbaya
 
Achana na mapenzi, katafute kazi ya kupigia kampeni wagombea. Unashindwa hata kuwa "Player" kumbe kitu gani kwani.
 
Upendo wangu na haupo kwake kiukweli upo kwa mdogo wake, lakini nilishindwa kuwa wake kabla ya dada yake kufanya mambo yake kweli nimeamini chelewa chelewa utakuta mwana si wako'.

Kwa jinsi nilivyompenda mdogo wake sijui ni nini kilichonifanya nisimwambie.Nahisi ule usemi wa 'subira huvuta heri' ulinipumbaza, ona sasa kaniwahi dada yake na mdgo wake katambua.

Jamani nilimpenda na bado nampenda mdogo wake ila mazoea ya dada yake kwangu yamechukua sura nyingine.Niliona njia rahisi ya kumpata mdogo wake ni kuzoeana na dada yake, lakini sasa dada yake kanizoea vibaya .

Hadi kufikia kuniomba namba yangu ya simu haikutosha akaamua kunitamkia kabisa eti anataka kuwa nami bila kujua kama mimi nina malengo na mdogo wake.

Nahisi ndoto zangu kupotea, nipo katika wakati mgumu sana sijui nimjibu vipi dada yake na sijui nitampata vipi nimpendae na wote wanakaa nyumba moja.

JAMANI EEH!

Nimemtongoza na dada yake msichana ninaempenda, bado sijamjibu chochote nimekata mawasiliano kwa muda ili kutafakari.

Tafadhali anayeweza kunishauri

Duuuh hili timbwili mbona kama langu vile.
 
Back
Top Bottom