Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Ohooooo!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Wazee wa kununua machangudoa hii inawahusu.
 
Leo nimefurahi sana kuona wanaume wamegundua kuwa wanaachacwake zao nyumbani kufuata misukule ambiance na corner baa
 
Hivi kumbe haya mambo ni kweli duuu aisee kazi kwelkwel
 
Acha akomeshwe. Utakuta huyo jamaa kaacha mke nyumbani kaenda kwa changudoa. Nyie ndiyo mnaongeza maambukizi ya Ukimwi. Kwann uende kununua changudoa?
 
Leo nimefurahi sana kuona wanaume wamegundua kuwa wanaachacwake zao nyumbani kufuata misukule ambiance na corner baa
Huyo dada ni mbunifu sana. Utakuta huyo jamaa ana mke nyumbani. Na pia mtoa uzi vile vile.
Wanacholalamika ni nn? Ni sawa uende kwenye kijiwe cha bangi halafu ulalamike umeibiwa. Huyo dada nampongeza sana, awakomeshe kbsa. Ni sawa ufanye biashara Dark web halafu ulalamike umeibiwa. Watu wanaroho ngumu, ukalale na changu kbsa?
 
Km ameanza hadi kutafutwa basi anaweza kuhamia pale kwa fisi......
 
Binadamu ameshindikana pamoja na magonjwa yasiyopona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…