tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
Hujajua kuwa lile tendo ni muungano, ukiondoka pale we unadhani changudoa umemuacha kumbe mambo yake yameingia na kuungana na wewe,kama itakuwa ni laana, mikosi , utajua baadae,Kama hiyo misukule haina ngoma mbona shkopa tu.. Fresh tu yan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shetani mwenyewe hakuwafundisha hivi hakika watu wanajiongeza
Mkuu hamia kwenye Punyeto tuWanabodi,
Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.
Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..
Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.
Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.
Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.
Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.
Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?
Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.
Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.
KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.
Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika nduguNdio hapo utauona uzuri wa kuwa ndani ya YESU
Mkuu Yesu akiwa ndani yako huwezi kuwa kahabaNdio hapo utauona uzuri wa kuwa ndani ya YESU
Huyo mbona anajulikana ila kukamatwa tu ndio iko shida...!Wanabodi,
Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.
Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..
Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.
Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.
Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.
Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.
Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?
Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.
Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.
KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.
Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ya kuwatumia misukule ni hivii huyo mwanamke ana dawa yake flani kabla hajaonana na mwanaume anachanganya na mafuta ya kujipaka anajipaka usoni kwahiyo wanaume wanakuwa wanamwona yeye tuKwahiyo munawar ushaufanya msukule?
Huko kuna mengi ya kujutia mkuu...Kristo akiwa ndani ya mtu hayo maovu yanamkimbia mbali.Unaacha papuchi salama nyumbani unaenda sinza
Mpaka umeyajua haya yote kweli wewe mteja haswaa.unastahiri tuzo ya "UZINZI"Wanabodi,
Na declare interest: mimi ni muumini mzuri wa kununua machangudoa Sinza hivyo taarifa hii inatoka katika vyanzo vyangu vya ndani.
Kuna changudoa mmoja yupo Sinza Africa sana, huwa anakaa jirani kabisa na Ambiance na bar za jirani..
Changudoa huyo mweupe (sina hakika kama ni weupe OG), ana lafudhi ya Kisukuma. Chagudoa huyu amekuwa akilalamikiwa na wenzie kwa kujihusisha na imani za kishirikina katika biashara yake ya kujiuza.
Moja, amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule. Hivyo wanaume huwa hawafanyi mapenzi na yeye bali wanafanya na misukule kwa kivuli chake yeye.
Mbili, amekuwa akitumia dawa za miti shamba ili kuvuta wateja. Amekuwa akishawishi na wenzie waende kusafisha nyota ili wapate wateja zaidi.
Tatu, amekuwa bingwa wa kuwapa dawa za kienyeji machangudoa wenzie ili kuondoa uchovu hasa wanapokuwa na wateja wengi. Kwa muujibu wa machagudoa ni kwamba ukipata wateja wengi usiku mmoja mda mwingine unapata hata kizungu zungu sababu ya uchovu hivyo binti huyu amekuwa akiwapa wenzie dawa ili waweze kufanya siku nzima bila kuchoka.
Nne, amekuwa akiwapumbaza wanaume na kuwaibia pesa kishirikina. Hivi jana ameiba milioni kumi za mfanyakazi wa idara nyeti akiwa na mwezie mmoja. Mwenzie amekamatwa lakini yeye hajulikani alipo. Ila haijafahamika ofisa huyo aliibiwaje milioni kumi, alitoka nazo wapi na alikuwa anaenda nazo wapi?
Tano, amekuwa akitengwa sana na wenzie kwakuwa inasemekana changudoa aliyekaribu nae huwa hafanyi kabisa biashara. Wanadai anawaibia nyota wenzie na huwa anapanga vichwa balaa bila kupumzika, 24x7.
Wasifu wake: Binti wa kisukuma, ana watoto watatu, mwanaume aliyezaa nae mtoto wa tatu anaishi Mwanza na huyo mwanaume anajua kazi ya mke wake lakini hana usemi kwasababu zinazoaminiwa za kishirikina.
KAMA ULIKUWA HUJUI: Hata machagudoa wanaamini Mungu yupo, kuna machangudoa wanasema kama wewe sio mshirikina ni bora kumuomba Mungu. Kwakuwa katika biashara zao kuna chuki na visasi sana, huwa wanatupiana mpaka majini.
Mi sijataja jina la mtu, tafadhali dada usinitafute [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kamwe huwezi kuwa mtumwa wa dhambi. Mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi na mshahara wa dhambi ni mautiMkuu Yesu akiwa ndani yako huwezi kuwa kahaba
Duh!!!!MWANANYAMALA WANAWAFANYISHAGA KWENYE FISI!
mi nimesikia tu!
ILA NA NYIE WANAUME MMEZIDI!
acha mfanyishwe mpk kwneye mizoga!