Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mataifa makubwa hayakujua? Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, USA

kwa nature ilivyo nchi hizo tatu (DRC, BURUNDI, RWANDA) Wabelgiji, Wafaransa hawa wote wana influence kubwa sana humo kama mtu anafuatilia nchi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubeligiji walikuwa na kikosi pale cha kulinda Amani,lakini kilchotokea mpaka leo imekuwa ni habari nyingine,
Ikumbukwe baada ya ndege iliyowabeba Maraisi wawili Habyarimana na Cyprian Ntaryamila wa Burundi kuangushwa,kisasi kilichofuatia ni kuuwawa Kikatili waziri Mkuu wa Rwanda mtutsi Mwanamama Wilingimana Agatha ...sorry Mkuu Bossless kwa kuigilia uzi wako niko radhi kusahihishwa.
 
UNAMIR ni rubbish ipo Siku ntaleta stori ya mambo yao waliyokuwa wanayafanya Rwanda nyuma ya pazia ndo maana baadhi ya mabalozi wakawa hata hawawaiti kuomba msaada. Nilitaka nimwage kila kitu hapa watu wakaanza oohh story ndefu sanaa sijui unatuchosha nimeamua kuacha baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mdingi una kipaji but punguza kususa daah... Hujaizoea jf tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubeligiji walikuwa na kikosi pale cha kulinda Amani,lakini kilchotokea mpaka leo imekuwa ni habari nyingine,
Ikumbukwe baada ya ndege iliyowabeba Maraisi wawili Habyarimana na Cyprian Ntaryamila wa Burundi kuangushwa,kisasi kilichofuatia ni kuuwawa Kikatili waziri Mkuu wa Rwanda mtutsi Mwanamama Wilingimana Agatha ...sorry Mkuu Bossless kwa kuigilia uzi wako niko radhi kusahihishwa.
Soma kichwa habari Cha uzi HUU matukio yalikuwa mengi Sanaa Mimi naeleza niliyoyashudia mengine nasikia tu Kama wewe unavyosikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ĹMtutsi huwa mrefu hewani au wa wastani.pua ndefu ya kisomali.ngozi nzuri laini.kama ni mwanamke hubeba hipsi za maana.nywele nzuri pia kiufupi huwa ni wenye mvuto.(pisi kali).hutu huwa vijeba .hawana mvuto nywele kipilipili na pua pana.wengi ni weusi tititii..mademu zao vipori

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa ni mtutsi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema Kabisa ,ikumbukwe pia kuna Watanzania walikwama kwenye yale mapigano,lakini hazikufanyika juhudi stahiki kuweza kuokoa maisha yao.
Ilikuwa hali mbaya na ya kushangaza ni european pekee na americanndio walikuwa na uwezo wa kuingia na kuchukua watu wao hii ni kwasababu ya power waliyonayo.nchi kama tanzania hakukuwa na namna zaidi ya kupokea wakimbizi.hali ilikuwa mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom