Sintofahamu ya bendera

Sintofahamu ya bendera

Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.

Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?

Nnaomba jibu wanaUKAWA.

Mgombea wenu Stone Alcohol Masorex kakimbia mdahalo na kasababisha hasara kwa StarTV. Kwa nini? naomba jibu.
 
Siasa za mwaka huu zmekuwa za kushindana kujaza watu mikutanoni na wingi wa bendera,lkn tuna haja ya kufahamu kuwa ayo yote hayasaidii km hatutashiriki ktk upigaji kura.
 
Wewe unasemea Dar ya Darful au hiihii Dar Es Salaam ambako bendera za Chadema zimechafua jiji?
CCM wanalazimisha na kufuata upepo,leo mtaani kwetu kuna mkutano basi kisa wameona bendera za CDM zimechafua kitaa nao wameleta zao!
Mie home kwetu nimeweka bonge la bendera ya CDM kwa raha zangu.
 
Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.

Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?

Nnaomba jibu wanaUKAWA.

Labda Dar ya Kenya.... Ila kama Dar ya Tanzania, bendera nyingi ni za Chadema na vyama vya Ukawa
 
Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.

Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?

Nnaomba jibu wanaUKAWA.

Kwn raisi ajae wa nchi hii kwa tiketi ya ukawa anatoka chama gani arifu
 
Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.

Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?

Nnaomba jibu wanaUKAWA.

Kwa kusema unataka jibu kutoka kwa wana ukawa unamaaniasha wewe ni mwanachamajambazi! Sasa ya ukawa unataka ya nini? Kobe wengine bana!!!
 
Kwa kusema unataka jibu kutoka kwa wana ukawa unamaaniasha wewe ni mwanachamajambazi! Sasa ya ukawa unataka ya nini? Kobe wengine bana!!!
Hawa wanaukawa wamekuwa hayawani. Hawana mbele wala nyuma
 
Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.

Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?

Nnaomba jibu wanaUKAWA.

Acha uongo wewe, Chadema ndio wanaoongoza kwa bendera nyingi kuliko CCM
 
CCM mnatumia ubabe muonekane mnakubalika ila hakuna kitu.
 
KILA BAO LA MKONO LA CCM KUIBA KURA TUTALIBAINI NA KULIWEKA HADHARANI 👇

Tulishaweka wazi hapa kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeingia mkataba wa siri na mtandao wa simu wa Tigo kutumia mtandao wa Tigo kutuma matokeo ya kura toka kwenye vituo vya kuhesabia kura baada ya upigaji kura kukamilika tarehe 25/10/2015. Vile vile tulisema kampuni hii ya Tigo kada wa CCM Yusuf Manji na Raila Odinga wa Kenya (rafiki wa Magufuli) wana maslahi/hisa ndani yake. Aidha tukasema Manji ana
mkono katika uagizaji wa mashine mbovu za BVR na wataalam wake walizichezea.

Sasa sikia hii kali: Wataalam wa IT wa CCM na Tigo wako kazini hivi sasa wanachezea mfumo wa masafa wa Tigo wa Base Station Control (BSC) ili kwa siku 3 kuanzia tarehe 25 mfumo huo uweze kuzuia mawasiliano ya simu na data kwa wakati fulani fulani na maeneo fulani fulani ya nchi kwa kadri CCM itakavyoona inafaa kulingana na hali ya matokeo ya CCM na ya Ukawa, kubwa ni kuzuia au kuchelewesha matokeo ya Ukawa kufika haraka Center toka maeneo Umoja huo wanapata matokeo mazuri. Hii ni kuwezesha Tume kujumuisha kura zilizochakachuliwa na mfumo mbovu wa Tume wa kutuma na kujumuisha kura, na kisha kutangaza haraka matokeo feki ya Urais kumpa Magufuli ushindi kabla Ukawa hawajajumuisha kura zao zote.

Kumbuka Tume ikishatangaza matokeo ya Urais ndio imetoka.

UKAWA TUWE MACHO!!

Sambaza kwenye groups zingine 👆
 
Back
Top Bottom