Giza nene limetanda ndani
ya Chadema kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya
michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao
makuu na kuimarisha chama. Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana
na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo
imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama.
Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi
haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya
fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti. Kwa
ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki,
INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya
ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa
kitaifa
Habar za uongo hazinaga
mashiko ili kuthibitisha propaganda zako ambatanisha nakala ya hati ya
mapato na matumizi ya budget ya chadema ,hapo ndo utadiriki kutoa povu
la mdomo wako kwa kuonesha kiasi gani kimepotea na nani kachukua-buku
7000 za lumumba zisikutoe ubinadamu ukawa unatumika kama toilet paper na
Mwigulu Nchemba mwishowe ukaishiwa kumwagiwa tindikali na huyo huyo
akakutembeza jukwaani kama msukule Tesha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
Habar za uongo hazinaga mashiko ili kuthibitisha propaganda zako ambatanisha nakala ya hati ya mapato na matumizi ya budget ya chadema ,hapo ndo utadiriki kutoa povu la mdomo wako kwa kuonesha kiasi gani kimepotea na nani kachukua-buku 7000 za lumumba zisikutoe ubinadamu ukawa unatumika kama toilet paper na Mwigulu Nchemba mwishowe ukaishiwa kumwagiwa tindikali na huyo huyo akakutembeza jukwaani kama msukule Tesha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha uzushi kuna viongozi gani wa kitaifa waliosusia shughuli za chama? Kama unamzungumzia Zitto yeye ni kawaida yake anaenda kivyakevyake hayupo pamoja na viongozi wengine.Giza nene limetanda ndani ya Chadema kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama. Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama. Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti. Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa
Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama. Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama. Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti. Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa
Genge la Wahuni limewagonga 4 - 0 kule Arusha, hivi hata ukimuuliza kichaa anaweza kukuamini kuwa CHADEMA ni genge la wahunichadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
Mimi nilidhani utaandika kuhusu bilioni 8 ,zilizoibiwa week iliyopita na makampuni hewa kwenye vikao vya busness partnership,wenzako wanachuku bil 8 wewe unaangaika na buku 7!!,onyesha vielelezo basi otherwise ulishiba dona ukaamua kuanzisha threadWewe unaamini habari zinazotolewa na gazeti la Tanzania Daima pekee. Tuambiwe ni wapi jengo limeanza kujengwa? zaidi ya ujenzi wa hekalu la Katibu Mkuu!!!!
Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama.
Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama.
Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti.
Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa
sawa na ccm mkuu!chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
Kwa hiyo hii ni mikakati ya kuiua CDM kabla ya 2013 kama alivyosema Wasira?