Sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa tiGO

Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,353
1,491
TANGAZO

Nasikitika sana kuwaharifu ndugu zangu jamaa na marafiki wote kuwa sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa TIGO hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimevumilia sana ila nimeshindwa na udhalishaji huu hasa pale unapo mpigia mtu unapata ujumbe huu ''' JAZA U JAZWE"" kwa kweli mm huwa sipendi hichi kiujumbe Ahsanteni
 
kwani unapoambiwa hivo unafkiria nn? tuanze kwnz na ww mwenyw whats an ur mind about that words
 
TANGAZO

Nasikitika sana kuwaharifu ndugu zangu jamaa na marafiki wote kuwa sintaweza kuendelea kutumia mtandao wa TIGO hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimevumilia sana ila nimeshindwa na udhalishaji huu hasa pale unapo mpigia mtu unapata ujumbe huu ''' JAZA U JAZWE"" kwa kweli mm huwa sipendi hichi kiujumbe Ahsanteni
Usikute umeshaongezewa MBs za bure ndio hizi unaingia nazo JF
 
Back
Top Bottom