USHAURI:
Mada kama hii yako ni mahsusi kwa waliobobea kwenye hii fani. Mtu kama mimi sijui hata ulichouliza hapa. Sasa ili maamuma kama mimi tuweze kutoa hata vijisenti vyetu viwili, inabidi ufafanue unauliza nini. La sivyo hii mada inaweza kudorora hapa kama vinara wa lugha watakapotokea.