Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 823
- 2,004
Kama unaona hayo mawazo ni sahihi basi ni sahihi na yatakufaa mwenyewe kwenye maisha yako.
Asante mwanangKama unaona hayo mawazo ni sahihi basi ni sahihi na yatakufaa mwenyewe kwenye maisha yako.
Unahitaji mtu wa kuwa karibu na weweNdoa, mahusiano ni utapel mkubwa sana.kiukweli hamna ndoa hamna mapenzi ni kupotezeana mda.
Singleness ndio maisha halisi yenye nguvu.ukwel huwez pendwa unapendwa na ulichonacho.
Love doesn`t exist and it will never exist.but singleness is greatness and it will always exist. kataa ndoa,mahusiano n utapel mkubwa.
kumbe huwa tunafanya wote sio?Oya nitakuchomoa kwenye skrini hilo swali muulize Seran
Yani selina hajielewi!Ngoja ufikie miaka 60 uanze kusumbua wadada eti ndio uoe, utanyooshwa kisawa sawa
View attachment 3609959