Single parenting inaweza kuwa single father ama single mother. Hivyo sababu zinaweza kuwa mfano kifo cha mzazi mmoja ama kutengana kwa wanandoa. Ila ktk mazingira ya sasa wengi wa single parents ni kati ya wale ambao hawakua ktk ndoa kabisa, hii sana hutokea kwa mwanaume kukataa mimba ama mtoto hivyo kulazimisha mwanamke alee mtoto mwenuewe pia katika uchache wanawake hukataa kulea watoto na kupeleka kwa waliowapa mimba hivyo kufanya wanaume walee wenyewe.
Hii situation ya pili ni kubwa kwa sasa kutokana na mabadiliko ya maisha na maadili ktk jamii. U-boy friend na u-girlfriend umekua ni kawaida ktk mazingira ya sasa na kusababisha mimba na watoto wasiotarajiwa. Umagharibi umekua mkubwa sana ktk jamii zetu
Kwa kawaida ikifika umri fulani mwanaume ama mwanamke anatamani kuoa au kuolea ilibapate tulizo na heshima. Sasa itakapo fika muda huo na hakuna ramani ya kueleweka ktk kuingia ktk ndoa basi mtu huamua apate tu mtoto afarijike na hiyo ndoa ije ama isije
Pia wapo wanaobakwa na kuachwa wajawazito na kuishia kulea watoto wao wenyewe bila baba
Na kwa sasa harakati za hawa ma feminist wanaotaka usawa kati ya mwanamke na mwanaume huchangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa single mothers. Kwani hishawishi kuwa mwanamke na mwanaume nisawa hivyo kuwa katika ndoa na mwanaume kuwa kichwa cha familia ni kukandamiza haki zao hivyo wanawake wengi wanaofata misimamo ya kimagharibi ya ki feminist huishia kuzaa bila ndoa na kulea watoto wao wenyewe kwa kupinga utawala wa wanaume ktk ndoa.
Lakini kwa ujumla ukiachilia sababu za kawaida zinazojulikana za single parenting hasa single mother, kuna kundi/kijiwe cha watu mahsusi wenye nguvu kifedha na ushawishi kinacho pigia chapua kwa kuenea kwa mambo haya katika jamii. Thats why gay rights, feminism and child adoption zinapata big promotion and suport. Na mashirika yanayotetea haya mambo hupata huge suport and financing
So unaweza sema ni something organized for our new world. Tunaona mainstreem media, celebrities, institutions, mataifa makubwa kiuchumi kama usa na EU wanatete haya mambo kwa nguvu kubwa.
Kwa hivyo waweza sema single parenting ni jambo linalotokana na hali za kawaida za kimaisha na pia its an organized situation with those who want us to turn and obey on the new world establishment