Kwa mtizamo wangu nafikiri kwa mwanamke ni vema kuolewa na mwanaume ambaye hana watoto ilimradi bado unauwezo wa kuzaa na mwanaume husika kwa sababu wanaume huwa wanapenda watoto wa wapenzi wao ili kunogesha penzi lao ili mradi 2 kusiwe na usumbufu kutoka kwa baba wa watoto husika.
Kwa mwanaume iwapo inakulazimu kubaki na watoto baada ya kutengana nafikiri ni vema ukampata mwanamke mwenye watoto, wakti analinda maslahi yake(watoto wake) atakuwa anaheshimu maslahi yako(watoto wako) , sharti kusiwe na usumbufu toka kwa mama wa watoto husika.
Hapo kwenye red kutokua na tabia nzuri haihusiani na mahitaji ya mwili.....kama wewe ni mchapaji hiyo ni tabia yako chafu na sio kutokana na mahitaji ya mwili. Unataka kuniambia mwenye uwezo wa kukaa mwaka mzima kwani yeye hana hayo mahitaji ya mwili???
Yaani unaoa ili udivorse, uwe single parent afu ili uanze kutafuta mke tena??
Duh, mbona unagawanya kwa njia ndefu sana?
Tupe maoni yako Mama Tuli,lazima kama ID na Avatar yako inavyoonyesha kuna hazina ya mawazo hapo.Share with us please.
Binafsi ninahako kauzoefu, nilidivorce na wala sikupenda kudivorce but ilifikia hatua wachungaji na hata huyo hakimu hakuwa na option, ndoa ikavunjwa, so sio divorce zote watu wanataka kuachana tu, Mahakama iliamuru nikaondoka na mtoto niko na maisha mengine kabisa na ninafurahia maisha niliyonayo kwa sasa
You got me wrong, i hv nothing to add at the moment!
Kikungu unanifanya niongee bwana wakati mimi ningependa kuwa mpokeaji tu leo. Mimi ni muathirika mmojawapo ndio maana nasubiri mawazo ya watu 'LABDA' yanaweza kunisaidia kufanya maamuzi:wink2:
Divorce is not the end of the road, it isn't easy and it is not what we would have chosen. Kikubwa kuliko vyote we need to focus on our children. If we damage our children's future,we damage and diminish ourselves as well. Kama mmeachana wakati watoto ni wadogo lets say 2yrs ni vizuri zaidi ulee watoto wako angalau wakue kuliko kukimbilia kuoa/kuolewa. Watoto wakishakua na uwezo wa kutambua na kuweza kujielezea hapo unaweza kuanza kufikiria pande hiyo nyingine. Tunawaumiza sana watoto kwenye haya matatizo jamani,sio makosa yao ngoja niishie hapa maana huwa nakua extremely emotional inapofika swala la watoto.
Mama wa kambo ni kifaa kingine tofautiii bora baba wa kambo aisee,ukimpata mwenye mapenzi ya kweli mshukuru sana Mungu.....kama kuna mama wa kambo anasoma hapa na anajijua kuwa anatesa/kunyanyasa mtoto wa mwanamke mwingine kweli muombe Mungu akusamehe na uache hiyo tabia. Machozi ya huyo mtoto na mama yake hayataishia chini bureee wallaih. Na mkumbuke kuna leo na kesho utakufa utaacha mtoto wako atateswa kama ulivyokua unamtesa mtoto wa mwenzio.
That's only true if you don't respect marriage, and see it only as a business contract :cool2:Don't be daft Fazaa unless you are living in Outerspace.We are talking about the eventuallity of divorce and not getting married to divorce.Wewe ndio unakufuru kuona kwamba umeoa huwezi kuja kuachana na mkeo kwa sababu yoyote ile.If that is the case,good on you pal.
Kurudi ya yesu ni ufananishi shiriki na sio kama ulivyoelewa wewe.Good day
Haya maneno tosha kabisa :cool2:Kikungu.... Kwanza naomba niseme kua mtazamo wa namna hio (looking towards a divorce) kama upo katika ndoa sio mzuri.... Ina maana kama upo ndani ya ndoa na ina matatizo badala ya kutafuta suluhu ya kuweza weka sawa wewe unaangalia a way out.
Lizzy Mkuu, points zako safi kabisa. Ninakupa THANKS pamoja na LIKE niliyotanguliza.Kwanza kabisa it crucial you take enough time to recover from the dirvorce/break-up, evaluate you past relationship and find out why it ended in a 'ditch, rebuild and find YOURSELF again maana kutoka kuwa 'mke/mume/mpenzi wa fulani' kwa muda ambao ni mrefu kiasi mpaka kuwa 'fulani tu' sio kitu kirahisi and mostly make sure the kids (if they are old enough) understands that they are NOT responsible for your marriage/relationship not working out AND your relationship with them hasn't changed.
Ukishaona kwamba sasa kweli mimi ni fulani tu (your are not hung up on the EXIE, be it for pleasant or unleasant reasons) and you are ready to move on, fall in love and commit to someone else then . .
First. . .Make sure you find someone that you are truly inlove with so it'll be easier to deal with him/her when things aren't so 'pretty'.
2. . .be completely honest about your situation, let them decide for themselves whether they want to be part of your 'messy' life or not.
3. . .Make sure he/she LIKE KIDS and LOVE YOURS.
4. . .tengeneza mazingira ya watoto wako kumpenda especially kama ni wakubwa wakubwa maana most of the time hawa wadogo wadogo hua hawana tatizo.
5. . .if you have older kids both of you have to make an effort to assure them that the new man/woman in your life is not there to replace their mummy/daddy. They oughtta know that this new person is there to enrich your life and theirs, not to take this or that away.
6. . .find out msimamo wake about having more kids hata kama ana wakwake pia ili uone kama mtakua kwenye mstari mmoja. Maana sometimes utakuta mtu ye ana mtoto. . .anataka mwanaume/mke asie na mtoto huku akidai kua hayuko tayari kuzaa mwingine kitu ambacho ni cha kibinafsi sana.
7. . .Make sure you EXIE does not dictate your current relationship and she/he understands that your relationship and contact is all about the kids. Not about what you and your new 'sugar' does as long as the two of you are not corrupting the kids in one way or the other.
8. . .Pop "THE QUESTION"/say "YES". . . make it official and be good couple and good parents.
Kwanza kuna ile dhana ya "mama wa kambo si mama" - sielewi ina ukweli wa asilimia ngapi - lakini imeenea sana kiasi kwamba imewaweka wanawake (mama wa kambo) wote katika kapu moja. Tukumbuke kuwa mlezi mzuri ni wito, ni majaliwa, ni Mungu alivyokuweka uwe bila ya kujali kama wewe ni mama/baba wa kambo. Tunawaona wazazi/walezi ambao kijuujuu wanajidai kuwa wanawalea watoto vizuri (kwa uelewa wao wa neno "vizuri", kumbe kwa kufanya hivyo huwa wanawapotoa na kuwapa watoto wao malezi mabaya.
Tukirejea suala la kuoa/kuolewa baada ya talaka, ninakubaliana na mmoja aliyependekeza "ulee watoto wako mwenyewe" mpaka wafikie umri angalau wa kujitetea katika maisha. Ninao mfano mzuri wa babu yangu ambaye alifiliwa na mke wake wakati huyu anajifungua mtoto wake wa mwisho, na akalea watoto wake watano bila ya kuoamaishani kwake.
Mke/mume anaweza kuahidi na kuonesha kuwa atawapenda watoto, lakini mara tu baada ya kuwa pamoja nawe akajihisi tayari amefika, akataka umiliki wa kila kitu na kuanza kuwadharau/kuwatesa watoto. Pengine mimi nina msimamo mkali kuhusu watoto, lakini nahisi bora kutafuta mfanyakazi wa ndani akusaidie kulea, atafanya hilo ikiwa si kwa mapezi basi angalau kwa kujali kazi yake, kuliko mke/mume ambaye atatanguliza maslahi yake mbele kabla ya malezi na ustawi wa watoto.
Na kama unahisi lazima uoe/uolewe, kitu muhimu ni kumwekea wazi muhusika kuwa "watoto wako ni muhimu kwako kuliko chochote", ili aelewe kuwa akileta za kuleta, anaweza asitoke kwa mlango alioingilia. He! hapa sikusudii kuua, bali kama aliingia kwa furaha anaweza kutoka kwa huzuni (ukiachia ukweli kuwa ninawezafanya lolote kuwalinda watoto wangu).
Lizzy Mkuu, points zako safi kabisa. Ninakupa THANKS pamoja na LIKE niliyotanguliza.