Hakika Iko ivyo sababu Wana focus ya maisha ya watoto wao wakijua baba atamtafuta familia nyingne Kisha mtoto hatokuwa na nafasi nzur Kwa baba ingawa sio woteeee

Kuna demu mmoja aliwahi kuniambya, gharama za shule,mavazi na malazi yeye ndiye anayegharamia so lazima apambane sana.
Mda huo tupo kitandani tunapiga stori😜