Kumbe walo na elimu kubwa huamua kuzaa tu na wasiolewe?Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
Usawa chanzo cha kila kitu! Paka anataka aende sawa na chui, kweli? Lazima mambo yaende kombo kama awamu hii inavyoenda
Got your point Rebecca .... it's such a useful information .... I'm quite sure that experience of yours will certainly not only pave a way to better families but will also reduce if not getting rid of these kind of families ....Chanzo ni michepuko,..................
Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................
Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......
Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.
Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
Sasa hiyo mimba iliingiaje kama haina baba?Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba