Single Mothers mpewe maua yenu

Nexltshahda

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
377
Reaction score
744
Mim nimelelewa na single mother tangu nikiwa na umri wa miaka miwili, na nimemuona father kwenye picha tu.

Alifarik 2010 lakin hata kweny msiba wake sikuenda kwa sababu sijui kwao, hata mama hakwenda, nimekua nikiamini kwamba mama ndie kapambana mpaka nimefikia umri wa kujitegemea kwani hata father sikuwahi kumuona

Ila kuna siku nilipewa simu na mama eti ongea na baba ako miaka ya 2008.

Mim binafsi nawapenda masingo maza popote mlipo msiguswe!
 
Hakuna anayeona mama yake ni single maza. Ukitaka kujua maana ya single maza oa single maza.
 
Hakuna anayeona mama yake ni single maza. Ukitaka kujua maana ya single maza oa single maza.
Mtu mmoja mwenye busara sana aliwahi kuniambia kama aliyemzalisha hajafa basi Fahamu kwamba wazazi hawaachani kamwe, kwa pamoja walishaifanya kazi ya Mungu ya uumbaji. so me nasema wanaweza kupotezeana kwa muda lakini yeyote Kati yao akiamua kuliamsha kupasha kiporo, kinapashika.
 
Na ndio chanzo kikubwa cha kumtanguliza stepfather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…