- Thread starter
- #41
Duh, ni hatari hiiiAcha kujaza Server bure. Ww sema tu umeachwa ila una penda show yake.
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Duh, ni hatari hiiiAcha kujaza Server bure. Ww sema tu umeachwa ila una penda show yake.
Mimi mkristo mkuuKlikuwa na ulazima gani wa kusema dini yake, kwani usingesema hivyo si ungeeleweka tu!
Kalalamika kwamba mke wake waligombana tu ila ni ugomvi wa kawaidaAlicholalamika huyo Bwana Ni nini mbona umeficha?nakushauri achana na mke wa mtu tafta mwanamke ambaye hana mtoto kama abdo hujaoa zaidi sana achana na mke wa mtu.
Sijakusoma mkuukula kona kula kona,kooooooona,
kulakona kula ,kooooooona
Manzese crew kmmke walikuwa wanatupigia vitu vya ukweli sana kitambo hyooooooooooooooooooo
Inategemea mkuu, unamnunulia anayeelekea.Ungemnunulia smartphone
Alitaka nimpe simu. Alinipigia magesabu balaaachana na huyo singo maza mkuu.
Kwa Nini unasema hivyo mkuu? Hebu maelezo kidogo.Bro umeingia choo cha shule tena peku,kuwa makini usije kanyaga majivu.
Kawaida hio, nimekula mzigo mkuu.
Kula kona kula kona, kooooooooooooooooooooooona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajacheza wala hajakuzunguka ila imeisha iyoooo [emoji28][emoji28][emoji28]we ndo ulisema muachane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemuacha wewe?
Anaelalamika ni wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan sijui nisemeje kutojiamini unahisi unapendwa kisa vitu ulivyonavyo
Jana nimesoma uzi eti hataki mpenzo wake ajue kama ana nyumba amepangisha kwani akijua ndio itakuwa yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchoyo uchoyo ambao hauna hata maana
Nimekimbia aiseKula kona kula kona, kooooooooooooooooooooooona
Kimbia babaaaaaaaaaa
PoleeKawaida hio, nimekula mzigo mkuu.