Kaniteka kwenye ulimwengu wa kiroho mkuuKufwa tu, mateka gani uko Jamiiforums 24/7?
[emoji3][emoji3] imeisha iyoHabar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma nilikuwa simpendi alikuwa ana ladhimisha tuonane Mimi nilikuwa na mpiga chenga Sana, siku Moja nika mkubalia tuonane na kweli tukaonana, siku hiyo tulivyo onana akanipa zawadi ya kuvaa mkononi lichuma flani akanivalisha mkononi, Cha kushangaza tokea siku hiyo nime kuwa nikimpenda na kumuwaza Sana tofauti na kipindi cha nyuma, Yan siwez kukaa bila kumjulia hari, wakat kipind cha nyuma ilikuwa ina pita miez simtafuti kabisa. Nashangaa sasaivi muda wote roho kama inataka kutoka kwa kumuwaza yeye tu huyu single mother, Yan asipo pokea sim yangu au kujibu sms zangu naumia Sanaa mpaka naanza kuisi Kuna Jambo nimefanyiwa kabisa, na Mimi sipendagi madem kutoka moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumsingizia mwenzio sema ni ww tu ndio umejituka unaruhusu hisia zako kuona umuhimu wake
Hapana hii kitu imekuja ghafla tu na Mimi wapenz wangu wazaman sikuwa kuwa waza Kama Nina vyo muwaza single mother, kingine siyo pisi Kali kuwazid watanguliz wakeAcha kumsingizia mwenzio sema ni ww tu ndio umejituka unaruhusu hisia zako kuona umuhimu wake
Yani nime jaribu kufuta namba zake naona nashindwa, najarib kuto kumpigia simu Napo nashindwa.Acha kumsingizia mwenzio sema ni ww tu ndio umejituka unaruhusu hisia zako kuona umuhimu wake
Kwahiyo unafikiri mapenzi yananasaga kwa pisi kali peke yake eee..Hapana hii kitu imekuja ghafla tu na Mimi wapenz wangu wazaman sikuwa kuwa waza Kama Nina vyo muwaza single mother, kingine siyo pisi Kali kuwazid watanguliz wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya vua ilo lichuma upesiYani nime jaribu kufuta namba zake naona nashindwa, najarib kuto kumpigia simu Napo nashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ww nan aliekwambia hisia hisia/moyo huwa unazama kwa pisi kali? Huo ukawaida ni macho yako ndio yaona hvyo ila moyo/hisia zako zinautafsiri tofauti kabsaa kwaiyo usishangae.Hapana hii kitu imekuja ghafla tu na Mimi wapenz wangu wazaman sikuwa kuwa waza Kama Nina vyo muwaza single mother, kingine siyo pisi Kali kuwazid watanguliz wake
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaYote kheri angalia moyo wako! Mapenzi hayana formula
Tell himKwan ww nan aliekwambia hisia hisia/moyo huwa unazama kwa pisi kali? Huo ukawaida ni macho yako ndio yaona hvyo ila moyo/hisia zako zinautafsiri tofauti kabsaa kwaiyo usishangae.
Tatizo unalo ww mwenyewe. Unalazmisha viungo vya mwili zifanye maamuz kwa kupinganaYani nime jaribu kufuta namba zake naona nashindwa, najarib kuto kumpigia simu Napo nashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app