Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa.
Wewe mwenyewe kwa maneno haya unaonekana hupendi wanaume wenye watoto. Nawe ni mbinafsi na mkatili
 

kila msichana ni single mom mtarajiwa pia kwa wanaume vilevile
 
Kwanza am soo proud to be a Mom, Am a single mama na sijawahi kujutia being a single mama,kwahiyo mtu mwingine akiniita mimi used kiukweli sijihisi vibaya hata kidogo,kwasababu wewe utaniita hivyo wakati kuna mtu ananiita mama,neno mama kwangu najihisi n kama the greatest mom...
Huyo unamwona wewe hafai ni sawa na mamako aliyekuzaa wewe(samahani kama nimetukana hapo)...

Single dady kuja hapa tulee watoto tuwaache hao wenzetu waende sawa, sisi tunaoonekana tuna vikwazo tutakuwa tunafahamiana vizuri zaid kuliko kutafuta matatizo zaid....

All in all, Sijawahi kujutia wala kuyachukia maisha yangu hata nikiitwa jalala,poa tuuu😛eace:😛eace:,all I kno a somebody's mom.
 
..nadhani ni vizuri mki date Na single fathers, mnakuwa Na interests zinazoendana, kuongelea kuhusu watoto..hata mahusiano yenu yakikomaa ni rahisi kuwafanya watoto wakutane nabkufurahi zaidi, lakini eti saivi unikalishe Na single mama, akianza Tu kuongelea utundu wa mwanae naanza kuboreka..
 

kila rakher mkuu.
 
hatutaki kuoa used sisi.
Labda kwa kugegedwa tu ila kuoa hakun

wewe na nani?sema wewe huwezi kuoa,sio sisi,nani kakutuma umsemee??mawazo ya kijinga kama haya usijumuishe wengine..jisemee mwenyewe.
 
huwo ndio msingi wa yote..

Kabisa. Anaesema kua mtoto sio issue anawadanganya,wazae nje kisha waone mtiti wake. Tatizo kuu ni mtoto sio kingine,mwanaume anahofia mzazi wa mtoto kua na exclusive rights za kumega mama mtoto kila akijisikia,wanakumbushia enzi zao.
 
ndo ushakua single mom...ukae utulie uleeeeeee!!
 
Utadhani hicho kizazi alijiwekea mwenyewe.

 
wewe na nani?sema wewe huwezi kuoa,sio sisi,nani kakutuma umsemee??mawazo ya kijinga kama haya usijumuishe wengine..jisemee mwenyewe.

ww vp mbona unatoka povu?
Au ulizaliwa na single mom nn. Hatutaki sasa kuoa single mom sababu hawajatulia walikuwa viruka njia
 

unajifariji?! Kaz kwelikweli
 
Single mom ni tatizo sana kwenye mahusiano aisee...

Mie nimekwenda mbali, siwezi kuoa mwanamke aliyekuzwa na single mom, wengi huwa wanakua na tabia kama za mama zao
 
unajifariji?! Kaz kwelikweli
Kwanini unadhani najifariji? na kwanini nijifariji.....Mpendwa,nadhani uko under age ndo maana unafikra za kitoto hivyo,Naomba nikufahamishe mtoto ni baraka na faraja ya ajabu,utakuwa na stress na kila aina ya shida,lakini ukimwona mtoto moyo wako unakupa nguvu ya kusonga mbele...
Ni hivi kama unadhani single momz are nothing infront of anyboy , you are wrong.....wapo wanaume wengine wanaowapenda kwa dhati hao hao unaowaona wewe hawafai....
kwa kumalizia ..kama wewe unaona huhitaji mtu wa hivyo nenda unakohitaji kwenda,kwasababu kila mtu Kaandikiwa wake,huna sababu ya kuruka ruka kama kinda la ndege...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…