ndiyo hatutaki,mnaendaga kwa wake zenu mlozaa nao ukiuliza eti si mzazi mwenzangu? Muoane wenyewewenyewe ili mudanganyane vzuri loh! Btw-nimeingia zamu!
naona network inasumbua sana....duka la hapo karibu nadhani hawajafunga,hebu nenda kachukue mb nitakuja kulipa
...such is life kamanda...! Have fun it's Friday!!. miss neddy yupo kukupa company!!
afu hii kauli ya eti mzazi mwenzangu inakera sana utasema utaivumilia lakini utachoka tu jaman mmmmmhhhh
Duka la jirani hapa huwa siendi mana nimeshakopa sanaaa...
...such is life kamanda...! Have fun it's Friday!!. miss neddy yupo kukupa company!!
don call my furendi ini buladi muswahili wakati ni muitaliano,huoni jina hilo
hebu acheni kuhubiri umaskini wakati malodi lofa tupo, unatumia mtandao gani kwani?
hahaha haya elezea uhusiano wa joka la kibisa na Kaizer chap chap sana kabla sija do ze nidiful
Hehhe Ndio maana wengine wanapata laana za Mungu baada ya hizo shela.
Tangu lini relationships zikajengwa kwa deception, iyo ni time bomb tu. Is it worth it? Tatizo la kusema uongo ni kwamba unashindwa kuishi kwa amani ukiogopa kustukiwa
hahaha haya elezea uhusiano wa joka la kibisa na Kaizer chap chap sana kabla sija do ze nidiful
Nasubir nami jibu cos miss neddy una mineno miguuuumu
Ivi anaposema hanywagi anamaanisha nini cos bar kunauzwa alcohol n non alcohol drink
haipendezi bana kwani huyo ulonaye sio mzazi mwenzako?? wakat mwingne unakuta na wewe unamtoto lakini bado tu utasikia naenda kwa mzazi mwenzangu inachosha sana hiitoa ushauri basi waitwaje? zilipendwa?
Nasubir nami jibu cos miss neddy una mineno miguuuumu
Ivi anaposema hanywagi anamaanisha nini cos bar kunauzwa alcohol n non alcohol drink
nHa ha ha uwwii ntaacha kukutumia bando
Cheki avatar Yang
Natake radhi kabisa
Mimi na mthungu Vaislay tulikutana kweny ndege best