Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.

charminglady uhandishi huu wa ALL CAPS means shouting, why?
 
Last edited by a moderator:
kwa mtonyo wa shella ukumbini, wengine just to meet social norms

Hehhe Ndio maana wengine wanapata laana za Mungu baada ya hizo shela. Utamkanaje kiumbe wa Mungu? Nani ajuaye kesho? May be unamkana wazir mkuu wa kesho? Au hutapata mwingine?
 
Huyo nae ovyoooo utakaneje watoto wote hao?
Wanaume wangejua mjini mimba zinavyotolewa wangewazawadia wanaoamua kusimama na kulea bila kujali Hali wanazokabiliana nazo
 
yeah ni kweli mkuu....imenigusa mno....hadi miss neddy amenistukia...sometimes I am emotional kwenye baadhi ya sensitive issues, am just human u know....

...such is life kamanda...! Have fun it's Friday!!. miss neddy yupo kukupa company!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…