S/mother’s wengi/wote wameshaharibika mfumo wao wa ufikili
Hi ni kutokana na jamii inavyowaona/mfano ni hapa jukwaani pia kila siku tunawaongelea na kuwasema, japo sababu kubwa ni wao wenyewe!!
Hivyo wao ndio sababu ya haya yote
Utamchukua leo mtaanza maisha
Utajitoa na kumpenda kama mkeo..
Anasuka na kupendeza...
Kwa bahati mbaya nowadays kuna mitandao ya kijamii inatuunganisha!!
Anaweka picha zake huko ,jamaa anamuona anamtamani
Anaanza kumtongoza

Kwasababu wanakiunganishi(mtoto wao) inakua ngumu kumblock
Atakataa leo,kesho na keshokutwa....mtondogoo atakuja na gia ya mtoto
My brother umekwisha!!!
Na kwasababu hiyo inatuwia vigumu sana kuwachukua
Je hapa nan tatizo
Yeye anajua yupo na mimi iweje tena aende huko?